Naichukia sn hii kazi.Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania
Zina laana ndio maana wengi wanakufa maskiniNaichukia sn hii kazi.
Manka familia yako bado inakuhitaji!Mikwara ya kishamba iliyopitwa na wakati mno !
Hapa kwetu kina salary slip hawataki kufanya kazi wanasubiri kina Lisu wawe marais wawe wanagawiwa helaWenzetu Uganda,Kenya,Ethiopia,Namibia wanabeba tu medali huko Tokyo..sisi huku sasa..
Umemaliza Depo lini constebo usie na akili???Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
Kwa kosa gani?Napendekeza wavunjwe viuno kabisa Hawa wafuasi wa ghaidi mbowe
Tukiwa na ushabiki wa kawaida kwenye siasa Kama ilivyo kwenye ushabiki wa mpira, tunapungukiwa nn? Kwanini kwenye siasa tuchukiane hivyo!! Hao unaotaka wavunjwe viuno, wengine ni waume wa shangazi yako!! Sasa shangazi yako atapewa utamu na nani?Napendekeza wavunjwe viuno kabisa Hawa wafuasi wa ghaidi mbowe
Ok kabla hawajafanya hiyo zitashuka drone toka mbinguni, zitawachakaza. Hawataamini bora waachane na na mikwara mbuzi, casualties itakuwa ni 20 /80%Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
Hahahaha. Jeshi lakiwaki kuwahi kutokea duniani. Yani kujirusharusha hapo na viribatumbo vyao ndio wanaona kuwa wanatishia watu.Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.
Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.
Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
Hawa boko haram wana hamu sana ya kichapo
Acha ujinga kujengea hofu watu, acha tuendelee na shughuli za maishaWandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.
Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
🤔🤔ITV- mazoezi ya kawaida.
Chenel 10- kupambana na Chama kimoja kinachotishia uvunjifu wa amani kwa kutaka kuandamana.
Mtoto wa Mbowe ataandamana tokea pande ipi au walalahoi ndo nguvu ya umma?