JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Haya mazoezi yangefanyika kipindi kile Kuna wimbi la "wasiojurikana"ingeleta heshima,tatizo jeshi hili ni Attach dogs ya the ruling elites.hawana akili zao,wanafanya wanachoamlishwa,Ili mradi ugari upatikane.Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.
Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
Nyumba yang imepona kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa Chadema.Wanachama wa chadema wamegoma kufanya maandamano yao kesho baada ya kugundua kuwa viongozi wakubwa wa chama hicho hawatokuwepo maandamanoni. Ukweli ni kwamba hakuna mtu atakaekuwa tayar kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya maisha ya mtu mungine. Kesho viongozi wa chadema wakishiriki maandamano kama wanavyomaanisha nyumbu wao hapa jukwaani, basi mi nitachoma nyumba yangu moto live afu niwatumie video muione inavyoteketea.
Hamia uganda brother.Wenzetu Uganda,Kenya,Ethiopia,Namibia wanabeba tu medali huko Tokyo..sisi huku sasa..
Kwisha habari yake arudi akaongoze znz.Siro anatumika na Sukuma Gang kumhujumu Rais Samia,ila Mama anaona wanamsaidia kuwakomoa Chadema. Na kwa kiasi kikubwa hii kampeni yao imefanikiwa kwani Mama kaingia mzima mzima kwenye huu mtego.
Ulishaona mtu anazikwa na mali zake!!!Zina laana ndio maana wengi wanakufa maskini
Acha dharauTanPol ndio jeshi la polisi la hovyo duniani.
Huwezi kuchukua watu wanaoshindwa kupata "C" tatu kwenye mtihani wa kidato cha nne,ukategemea watu hao wawe walinzi wa "utii wa sheria bila shuruti".
Ha ha haaaa kikundi cha watu wakati Mwamba mmoja tu tayari katengeneza hofu.Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.
Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.