DAR: Polisi yapiga marufuku mazoezi ya kukimbia 'Jogging' barabarani bila kupata vibali

Huu ni ujinga mwingine. Wewe kamanda jiongeze vhukua fursa kuongea na Makamu wa Rais. Mazoezi miji mikuu yafanyike wapi? Kukataza pekee ni ujuha na subordination kwa boss wako.
 
Sawa kabisa. Hawa watu huwa siwaelewi ujue! Huwa shida yao ni kufanya mazoezi au ku capture public attention?

Maneo ya wazi yako mengi sana sasa yanini kuhatarisha uhai kufanya mazoezi kwenye barabara ambazo ziko busy magari 24/7.

Acheni hizo show off kwenye masuala ya msingi
 

Maeneo ya wazi yanamilikiwa na nani na yapo mangapi? Hiyo fursa imeshatumika na ukwamo mkubwa umekuwepo. Makamu Rais amesisitiza mazoezi. Watu wameitikia kwa kutumia barabara. Badala ya matamko ya kipuuzi ya kukataza, jeshi la polisi lingetumia busara kuongea na makamu wa Rais namna bora ya kutekeleza hilo siku za weekend.
 
wanaume wa Dar wanafanya jogging jumamosi na jumapili..siku nyingine wanashinda bar wakila bia ya kirimoro
 
Naonaga mibaba na vijana wanavaa bukta bila chupi yani dushe linaonekana kabisa,wengine unakuta tunaelekea kazini wanatuamsha genye
 
Anaefikiri kwa umakini na ukioanisha na hio picha ya jogging hapo utagundua kua kuna ulazma wa kupata kibali ili muweze kupatiwa kibali cha kupita barabara husika bika kusababusha foleni na msongamano wa vyombo vya usafiri na pia kwa usalama wenu ikiwezekana polisi au vyombo vya usalama kwa ujumla kuweza kuwapa escort!
 
Uko sawa ndugu ika wasifikiri kwa mbali wanaona kama wanaonewa, licha ya foleni ila hata kwa issue ya usalama wao wanapokua jogging inatakiwa kusimamiwa kwa ukaribu na vyombo vya usalama. Tatizo uelewa na ubishi ndio unatukabili!
 
Uko sawa ndugu ila wasiofikiri kwa mbali wanaona kama wanaonewa, licha ya foleni ila hata kwa issue ya usalama wao wanapokua jogging inatakiwa kusimamiwa kwa ukaribu na vyombo vya usalama. Tatizo uelewa na ubishi ndio unatukabili!
 
!
!
Zuia hiki, fungia kile, Piga risasi huyu, muue yule, wateke hawa, fungia nyimbo daah balaa tupu.
Okey viwanda
Sema hili kanusha lile anzisha hili bomoa lile teua huyu tengua yule...kamata huyu achia yule double standard ndio mwendo wa full marktime katika 360°hata kama kuna maendeleo huwezi kuyapima katika dimension yoyote tunahitaji paradigm nyingine kabisa sio kizungumkuti hiki
 
Si hii hii serikali ndio ilisema tuwe tunafanya mazoezi?
 

Mkuu hayo maeneo mengi ya wazi unayosema ni yepi?
Naomba yataje baadhi!
Halafu huwa inategemeana na convenience ya Mtu , mfano mwingine atokapo kazini jioni huwa anarudi nyumbani Kwa njia ya Mazoezi !
Na makazi ya watu yametawanyika!
Nitajie Public Gaderns Za Mazoezi Kama zipo!
 


!
!
Yaani dah hadi shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…