Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Pin ya simu yangu hioJoto la 26042018 au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pin ya simu yangu hioJoto la 26042018 au?
Sawa kabisa. Hawa watu huwa siwaelewi ujue! Huwa shida yao ni kufanya mazoezi au ku capture public attention?
Maneo ya wazi yako mengi sana sasa yanini kuhatarisha uhai kufanya mazoezi kwenye barabara ambazo ziko busy magari 24/7.
Acheni hizo show off kwenye masuala ya msingi
Huu ni ujinga mwingine. Wewe kamanda jiongeze vhukua fursa kuongea na Makamu wa Rais. Mazoezi miji mikuu yafanyike wapi? Kukataza pekee ni ujuha na subordination kwa boss wako.
Uko sawa ndugu ika wasifikiri kwa mbali wanaona kama wanaonewa, licha ya foleni ila hata kwa issue ya usalama wao wanapokua jogging inatakiwa kusimamiwa kwa ukaribu na vyombo vya usalama. Tatizo uelewa na ubishi ndio unatukabili!Sawa kabisa. Hawa watu huwa siwaelewi ujue! Huwa shida yao ni kufanya mazoezi au ku capture public attention?
Maneo ya wazi yako mengi sana sasa yanini kuhatarisha uhai kufanya mazoezi kwenye barabara ambazo ziko busy magari 24/7.
Acheni hizo show off kwenye masuala ya msingi
Uko sawa ndugu ila wasiofikiri kwa mbali wanaona kama wanaonewa, licha ya foleni ila hata kwa issue ya usalama wao wanapokua jogging inatakiwa kusimamiwa kwa ukaribu na vyombo vya usalama. Tatizo uelewa na ubishi ndio unatukabili!Sawa kabisa. Hawa watu huwa siwaelewi ujue! Huwa shida yao ni kufanya mazoezi au ku capture public attention?
Maneo ya wazi yako mengi sana sasa yanini kuhatarisha uhai kufanya mazoezi kwenye barabara ambazo ziko busy magari 24/7.
Acheni hizo show off kwenye masuala ya msingi
Sema hili kanusha lile anzisha hili bomoa lile teua huyu tengua yule...kamata huyu achia yule double standard ndio mwendo wa full marktime katika 360°hata kama kuna maendeleo huwezi kuyapima katika dimension yoyote tunahitaji paradigm nyingine kabisa sio kizungumkuti hiki!
!
Zuia hiki, fungia kile, Piga risasi huyu, muue yule, wateke hawa, fungia nyimbo daah balaa tupu.
Okey viwanda
Sawa kabisa. Hawa watu huwa siwaelewi ujue! Huwa shida yao ni kufanya mazoezi au ku capture public attention?
Maneo ya wazi yako mengi sana sasa yanini kuhatarisha uhai kufanya mazoezi kwenye barabara ambazo ziko busy magari 24/7.
Acheni hizo show off kwenye masuala ya msingi
Sema hili kanusha lile anzisha hili bomoa lile teua huyu tengua yule...kamata huyu achia yule double standard ndio mwendo wa full marktime katika 360°hata kama kuna maendeleo huwezi kuyapima katika dimension yoyote tunahitaji paradigm nyingine kabisa sio kizungumkuti hiki
Na hatimae miaka 5 inakatika.....hakuna kilichofanyika