Forget about that.Yani hata Ethiopia nao wanatumia bandari ya Mombasa wakati wako na SGR yao ya umeme..hehe Lamu port ikikamilika !
Kuhusu Tz, tunafaa kujenga ICD pale Voi, mizigo ya Tz ikiingia bandarini inawekwa kwa SGR directly na kusafirishwa hadi voi ICD ambapo itakaguliwa alafu malori ya Tz yatakua yanagojea mizigo yao hapo waichukue na kutumia border ya taveta/holili...
Mbona unaongea bila kueleweka kama umewekea kidole kwenye MK. Kama umeweka utakuwa umeweka wewe. You are the only fool who can do that.Uliangalia Google babaa zile Picha zako zinatumika na mash#ga mitandaoni ππ
Naona mahumivu yamewafika pabaya ma jobless50 percent anaona kubwa sana hajui ukiongeza container moja kwa port ya container mbili hio ni fifty percent increaseπππ...hii ngombe ya manzese sijui ilienda shule wapiπππ
Sijui nani kwa sasa analamba loloWe are talking of a Port here not some semblance of which.... it will take 20 years for Dar to be anywhere near where Mombasa Port is... and Mark you another Phoenix is fast rising at the LAMU...... LAMBENI LOLO NYIE WADANGANYIKA NA WADANGANYWA
Good to understand we are talking of the oil Cargo alafu wenzako wanakuja na habari za SGR. Hivi kwanza umepata breakfast ?? πits only the oil cargo that grew not the whole port
ππ Check out @BD_Africaβs Tweet:joke of the century...nyie bongolala hata port ya djibouti tu imewaweza mnaiwaza the mighty Mombasa port kwanini...
Check out @Embulukutuβs Tweet:50 percent anaona kubwa sana hajui ukiongeza container moja kwa port ya container mbili hio ni fifty percent increaseπππ...hii ngombe ya manzese sijui ilienda shule wapiπππ
That's transit cargo not home cargo included, yours is the whole gross cargoRipoti yenyewe inasema Dar ili handle 13.8 million tonnes.... Mombasa ilifikisha 30 million tonnes mwaka jana ! Hii si competition, hii ni domination... ondoeni upuzi hapa, your 50% is like our 10%
Watalia sanaThat's transit cargo not home cargo included, yours is the whole gross cargo
Kwani haukufanya hesabu ukiwa shule... hioIinaitwa ratio ... kama whole cargo ni kubwa kuwaliko, na kama transit cargo yetu ni kubwa kuliko yenu.... how do you expect oil transit cargo yenu kua kubwa kuliko yetu if the condition remains the same???That's transit cargo not home cargo included, yours is the whole gross cargo
The fact is that over 75% of all Mombasa general cargo destined in Kenya not beyond your borders, very little goes to landlockedKwani haukufanya hesabu ukiwa shule... hioIinaitwa ratio ... kama whole cargo ni kubwa kuwaliko, na kama transit cargo yetu ni kubwa kuliko yenu.... how do you expect oil transit cargo yenu kua kubwa kuliko yetu if the condition remains the same???
Kama unabisha, leta total oil transit cargo throught Dar ports interms of litres or tonnes na mi nitaleta ya Msa port, tumalize hii mada mara moja
Reli ya kaskazini inafufuliwa kwa kasi ya ajabu ili mizigo ya mikoa ya kaskazini ipite bandari ya Tanga na ile ya kwenu ya Voi haipo katika fikira zetu ni tembo mweupeee.Yani hata Ethiopia nao wanatumia bandari ya Mombasa wakati wako na SGR yao ya umeme..hehe Lamu port ikikamilika !
Kuhusu Tz, tunafaa kujenga ICD pale Voi, mizigo ya Tz ikiingia bandarini inawekwa kwa SGR directly na kusafirishwa hadi voi ICD ambapo itakaguliwa alafu malori ya Tz yatakua yanagojea mizigo yao hapo waichukue na kutumia border ya taveta/holili...
Ulipata? ππππMbona unaongea bila kueleweka kama umewekea kidole kwenye MK. Kama umeweka utakuwa umeweka wewe. You are the only fool who can do that.
Alafu wanalinganisha punda na farasiπππhizi ni ndoto tu...fananisha 13.8 million tonnes na 30 million tonnes
πππumbumbumbu unawasumbua hawa wakaazi wa Manzese...tangu lini unafananisha 13.8 million tonnes na 30 million tonnes? that is more than doubleAlafu wanalinganisha punda na farasiπππ