Forget about that.Yani hata Ethiopia nao wanatumia bandari ya Mombasa wakati wako na SGR yao ya umeme..hehe Lamu port ikikamilika !
Kuhusu Tz, tunafaa kujenga ICD pale Voi, mizigo ya Tz ikiingia bandarini inawekwa kwa SGR directly na kusafirishwa hadi voi ICD ambapo itakaguliwa alafu malori ya Tz yatakua yanagojea mizigo yao hapo waichukue na kutumia border ya taveta/holili...