DAR: Rais Dkt. Magufuli kukutana na wachezaji wa timu ya Tanzania 'Taifa Stars' Ikulu

DAR: Rais Dkt. Magufuli kukutana na wachezaji wa timu ya Tanzania 'Taifa Stars' Ikulu

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Rais Dkt. John Magufuli leo Oktoba 19, 2018 atakutana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es salaam.

Tuwe pamoja kwa yatakayojiri hapo baadaye.
IMG_20181019_073246.jpeg
 
huenda mkutana na Rais ukasaidia boresha timu yetu ya taifa. Tunawaombea mafanikio taifa stars
 
Hapo sijui itakuwaje kwa sababu wachezaji wamerudi kwenye vilabu vyao kujiandaa na mechi za kesho za TPL..

Je hawakuliona hili?
 
Hapo tumebugi, wangefuzu kwanza ndo wafanye hivyo. Lakini, napata wasiwasi sana kama tutafuzu maana mmmmmmmhhhh.
 
Wapi nimesema wasiitwe Ikulu? Ungekuwa makini kwa hili ungenijibu tu kuwa waliobaki watawakilisha wengine..Lakini ulikurupuka tu ohh umewarudisha wewe?

Mkuu sipingi kuitwa Ikulu, naona poa pengine kuna kitu kitajiri sasa nitapinga vipi.
Kwa hiyo waliobaki ulitaka wasiitwe Ikulu sio?
 
Rais Dkt. John Magufuli leo Oktoba 19, 2018 atakutana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es salaam.

Tuwe pamoja kwa yatakayojiri hapo baadaye.View attachment 902931
Afadhari huenda atagusia na suala la kubadiri jina la Timu yetu ya Taifa ama kuipa "Nick name" mpya. Tumechoka kuonekana watu wa kuvutia kwa kila timu ya taifa kuja kutuangalia "stars"
Kila anayetaka kuona nyota basi anakuja Tanzania. "
Ama yale yale ya "Unguja Njema atakaye na aje.."

Tunataka Nickname itakayo watisha na kuwaogopesha wapinzani wetu, wakisikia jina letu watetemeke waingiwe hofu na mashaka juu yetu.

"Tubadirishieni wimbo huu tafadhariii "....!!
 
Afadhali wasingeenda. Naangalia hapa nachoona kama anawavunja moyo tu maana anawapa makavu laivu ambayo hakupaswa kuyasema sasa.
Alafu mpira haujui, anadai bado tumefungwa sababu cape verde walitufunga tatu bila sisi tukawafunga 2. Eti bado tunadaiwa goli moja.
Nashauri aachane na mpira sio kutafuta kiki.
 
Back
Top Bottom