Umewarudisha wewe?Hapo sijui itakuwaje kwa sababu wachezaji wamerudi kwenye vilabu vyao kujiandaa na mechi za kesho za TPL..
Je hawakuliona hili?
Kwa hiyo waliobaki ulitaka wasiitwe Ikulu sio?Wewe si kila ni ushabiki tu..kuna Samatta, Mao, Banda wamerudi vilabu vyao jumla 14 na baadhi wachezaji wa TPL taarifa hiyo hata Ikulu wamesema.
Kwa hiyo waliobaki ulitaka wasiitwe Ikulu sio?
Waache jamaa waende wakale msosi Ikulu. Hiyo inatokeaga mara moja moja....Mkuu sipingi kuitwa Ikulu, naona poa pengine kuna kitu kitajiri sasa nitapinga vipi.
Afadhari huenda atagusia na suala la kubadiri jina la Timu yetu ya Taifa ama kuipa "Nick name" mpya. Tumechoka kuonekana watu wa kuvutia kwa kila timu ya taifa kuja kutuangalia "stars"Rais Dkt. John Magufuli leo Oktoba 19, 2018 atakutana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es salaam.
Tuwe pamoja kwa yatakayojiri hapo baadaye.View attachment 902931