DAR: Rais Dkt. Magufuli kukutana na wachezaji wa timu ya Tanzania 'Taifa Stars' Ikulu

Mwache tu awape makavu live. Sasa ulitaka awabembeleze wakati huku anawapa msosi wa bure?
 
Daah, ahsante Mh Rais kwa maneno hayo.! Sidhani kama yana tofauti sana na yale wanayopewa askari wanapoenda vitani...!
Team work.! Fighting spirit, ! ..
 
"Tanzania tangu tupate uhuru tulikuwa milioni 10 leo tuko milioni 55 ni aibu kubwa sana kwa watu milioni 55 mnashindwa kupata wachezaji11 wanaoweza kuwaletea kombe hata la Afrika".Rais Magufuli-Oktoba 19,2018
 
"Niwaombe nyinyi wachezaji mpo wa Simba,Yanga,Azam mnapoenda kule nendeni kama wachezaji na timu yenu muiite Tanzania,msiwe na mawazo hata ukitaka kumpasia lazima umpasie mtu wako wa Yanga au Simba".Rais Magufuli-Oktoba 19,2018
 
"Watanzania wengi wamekata tamaa kushabikia timu za ndani, ndio maana mtakuta watanzania wengi wanataja majina ya wachezaji wa nje, utakuta wanazungumzia juu ya wachezaji wa Arsenal, Manchester na kadhalika".Rais Magufuli-Oktoba 19,2018
 
hembu tupe maoni yako ungependa iitweje
 
Wangefungwa ikulu wangeisikia central [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"Tanzania tangu tupate uhuru tulikuwa milioni 10 leo tuko milioni 55 ni aibu kubwa sana kwa watu milioni 55 mnashindwa kupata wachezaji11 wanaoweza kuwaletea kombe hata la Afrika".Rais Magufuli-Oktoba 19,2018
Kwa mantiki hiyo basi China ndio angekuwa Bingwa wa historia wa kombe la Dunia
 
Kwa mikosi yake na chichiemu, safari ya Cameroon imeishia Magogoni na imeisha rasmi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…