Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Being a father is a real job
 
Nilikua namuonaga p funk bonge la mjanja kumbe fala tu ... ila alishasemag yeye paula kamshindwa kamuachia Mama yake
We binamu usimlaumu kinywele ki1 best maana huwezi jua maneno gani makali Kajala kamuambia Baba P,achana na sisi wanawake ujue ukute ktk harakati za kumchunga mtoto Ambazo P alikua anafanya,K kuna maneno Makali kamtamkia mzazi mwenziwe ndo maana baba wa watu amerudi nyuma kidogo!
Wanawake sisi tuna kera na kuna mda ukute kamtamkia shoombo hizooo P kende zote zikanywea!Mimi simlaumu majani.
 
we jamaa leo umekuwa Mwanamke !!!!!!
 
Maajabu hayatakuja kuisha, hawa si ndugu, yaani Ray kaoa kwa Harmo?
Wamalize kiundugu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had mbavu zinauma wallah khaaaah
 
Harmonize siyo Kiba. Atawapelekaaaaa. Atawapekelekea motooooo. Mwaka huu mpaka mashoga mtajifungua kwa uchungu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 1752830
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Paula na mama yake wote ni malaya, unafilimba tu kwa mafungu kama nyanya.

What's so special na hao malaya ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna faili lake na Majizo ni vile watu wanamlindia heshima majizo tu lingeachiwa pia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyo rayvan file lake na mbunge fulan ambae sasa ni naibu waziri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dunia ni ndogo ila ina makubwa, waachie kwan hiyo ya konde na majay, utaona za rayvan zitakavoshushwa, toka za jamaa aliyeporwa na mbunge, had boss fulan ambapo anawachanganya rayvan na msanii mwenzie.

Kwenye hili wasiguse kabisa, WCB nzima ni wahusika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazimaawe mpole chezea didu la yuyu la harmo kuubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanapovuka kiuoga uoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
pacha nawewe una mafile kama yoteee...duuuh ebu ning'ate sikio mwenzio
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…