Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Kuna nini huko duniani rafiki nikupende?

Ndio nazeeka au mbona sijui yanayojiri huko dasilamu
Rafiki nikupendae kuna wanaume hapa wanamuonea wivu kijana wa watu aliyebarikiwa chini na vijisenti.
 
Sasa huyo rayvan file lake na mbunge fulan ambae sasa ni naibu waziri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dunia ni ndogo ila ina makubwa, waachie kwan hiyo ya konde na majay, utaona za rayvan zitakavoshushwa, toka za jamaa aliyeporwa na mbunge, had boss fulan ambapo anawachanganya rayvan na msanii mwenzie.

Kwenye hili wasiguse kabisa, WCB nzima ni wahusika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]weeew!kumbeee
 
Kondeboy samehe tu...yaishe..this is getting ugly
Iko hivi,anaweza kusamehe,lakini hili analofanya litamsaidia kusafisha jina lake,ukumbuke Harmonize ni balozi wa baadhi ya makampuni au taasisi,sasa kukaa kimya maana yake hizi shutuma zitaendelea kuwepo na zitamuharibia jina lake kwenye mikataba ambayo tayari ameingia na inamuingizia pesa...
 
Hata MI najua alikuwa mwanaume lakini ghafla leo ni jike
Nyie wote wapuuzi kumbe[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!akili zenu fupi !!looh!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787]Ndo maana na Samia kaja na salamu mpya, maisha yanaenda kasi sana
[emoji23]kabisa Baby, ninakajua toka 2018 kalikuwa kanaweka na picha yake humu alafu leo kanajiita kamwanamke
 
Sasa wameona je mauongo yake? aisee huko dar kuna mambo sana
Paula alimrekodi bwanake wakiwa wanavideo call.
Paul ni mtoto wa Kajala.
Sasa Paula akampa bwanawake mwingine ile video.

Bwana wake aliyepewa anaitwa Rayvannny.

Naye Rayvanny kaiachia hewani.

Lakini Harmo ana dudu kubwa sana dudu la kibabe.

Yaani lile itakuwa Rayvanny kwa kuwa yeye hana.
 
Paula alimrekodi bwanake wakiwa wanavideo call.
Paul ni mtoto wa Kajala.
Sasa Paula akampa bwanawake mwingine ile video.

Bwana wake aliyepewa anaitwa Rayvannny.

Naye Rayvanny kaiachia hewani.

Lakini Harmo ana dudu kubwa sana dudu la kibabe.

Yaani lile itakuwa Rayvanny kwa kuwa yeye hana.
Eeee aiseee kwahyo jiji limesimama huko..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
we ni mmoja wa watu wanaoendekeza utimu..Hujawahi kuja na neutral argument kwenye maswala ya mziki..sina timu ila nawewe kama hutaki utimu basi punguza post za utimu..acha kuhubiri amani huku umeshika panga.
Huyo jamaa anashangaza sana kuna thread humu nilimbana maswali hakuna hata moja alilojibu nikaishia kumuambia tu mipasho peleka insta sio huku jf.....

Nilipata muda wa kusikiliza ile interview ya rayvan nikabaki kujisemea tu jamaa kageuka msemaji wa familia ya kajala
 
Back
Top Bottom