amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Rafiki nikupendae kuna wanaume hapa wanamuonea wivu kijana wa watu aliyebarikiwa chini na vijisenti.Kuna nini huko duniani rafiki nikupende?
Ndio nazeeka au mbona sijui yanayojiri huko dasilamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki nikupendae kuna wanaume hapa wanamuonea wivu kijana wa watu aliyebarikiwa chini na vijisenti.Kuna nini huko duniani rafiki nikupende?
Ndio nazeeka au mbona sijui yanayojiri huko dasilamu
hahaha😂 aisee,Huyo anahasira utakuwa ana kibamia na pesa pia hana.
Ila Harmo ana mdude na pesa anayo woiii
Sasa wameona je mauongo yake? aisee huko dar kuna mambo sanaRafiki nikupendae kuna wanaume hapa wanamuonea wivu kijana wa watu aliyebarikiwa chini na vijisenti.
Hahaaaha mji una upuuzi mwingi sana uleMkuu, mambo ya daslamu kama wewe ni wa mkoani hutoyaelewa, utawasikia tu wanasema "kwio"
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]weeew!kumbeeeSasa huyo rayvan file lake na mbunge fulan ambae sasa ni naibu waziri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dunia ni ndogo ila ina makubwa, waachie kwan hiyo ya konde na majay, utaona za rayvan zitakavoshushwa, toka za jamaa aliyeporwa na mbunge, had boss fulan ambapo anawachanganya rayvan na msanii mwenzie.
Kwenye hili wasiguse kabisa, WCB nzima ni wahusika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo wanakoelekeaKilichobaki tuwape manati za mzungu wawindane [emoji1787]
Ntake radhi aseweh!!;Mimi sio wa hizo Lucas!Subhana llaaah!!!na tena sifananishwi na hizo mambo!pleaseee!Mkuu, hongera sana .[emoji304][emoji304][emoji304]
Iko hivi,anaweza kusamehe,lakini hili analofanya litamsaidia kusafisha jina lake,ukumbuke Harmonize ni balozi wa baadhi ya makampuni au taasisi,sasa kukaa kimya maana yake hizi shutuma zitaendelea kuwepo na zitamuharibia jina lake kwenye mikataba ambayo tayari ameingia na inamuingizia pesa...Kondeboy samehe tu...yaishe..this is getting ugly
😂haya bana, ila usiwe unakaa karibu na Shunie wangu, mke wa mtu sumuNtake radhi aseweh!!;Mimi sio wa hizo Lucas!Subhana llaaah!!!na tena sifananishwi na hizo mambo!pleaseee!
Nyie wote wapuuzi kumbe[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!akili zenu fupi !!looh!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata MI najua alikuwa mwanaume lakini ghafla leo ni jike
[emoji1787]Ndo maana na Samia kaja na salamu mpya, maisha yanaenda kasi sana
[emoji23]kabisa Baby, ninakajua toka 2018 kalikuwa kanaweka na picha yake humu alafu leo kanajiita kamwanamke
Hahahahhah!!!akili huna weye!!!![emoji23]haya bana, ila usiwe unakaa karibu na Shunie wangu, mke wa mtu sumu
Mkuu😂, yule mtoto ndio roho yangu, hata na akili nimempa yeyeHahahahhah!!!akili huna weye!!!!
Paula alimrekodi bwanake wakiwa wanavideo call.Sasa wameona je mauongo yake? aisee huko dar kuna mambo sana
Eeee aiseee kwahyo jiji limesimama huko..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Paula alimrekodi bwanake wakiwa wanavideo call.
Paul ni mtoto wa Kajala.
Sasa Paula akampa bwanawake mwingine ile video.
Bwana wake aliyepewa anaitwa Rayvannny.
Naye Rayvanny kaiachia hewani.
Lakini Harmo ana dudu kubwa sana dudu la kibabe.
Yaani lile itakuwa Rayvanny kwa kuwa yeye hana.
Huyo jamaa anashangaza sana kuna thread humu nilimbana maswali hakuna hata moja alilojibu nikaishia kumuambia tu mipasho peleka insta sio huku jf.....we ni mmoja wa watu wanaoendekeza utimu..Hujawahi kuja na neutral argument kwenye maswala ya mziki..sina timu ila nawewe kama hutaki utimu basi punguza post za utimu..acha kuhubiri amani huku umeshika panga.
Alitakiwa akimbilie kwenye kambi ya jeshi sio? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jeshi kakimbilia polisi
Mrembo kama anachokisema huyo jamaa ni kweli naomba ni PM namba yako,
Yaani acha kabisaaaaaEeee aiseee kwahyo jiji limesimama huko..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]