Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasafi wanapenda sana mambo ya video za utupu, hawajaanza leo. kwa kifupi zaidi ya 70% ya watumia Instagram haya mambo wanapenda sanaKweli hawakutumia akili, hafu mwanaume kuvujisha video za uume wa mwanaume mwenzako ni ujinga uliokithiri aisee. Kumbe wasafi ni wajinga na Bora konde kashtaki police na Sasa video ikivuja nyingine wao ndo wahusika. Kwa hili Jambo wasafi wamekuwa wajinga, na huyo baba levo kubwa jinga to much kuropoka.
N. B Mimi sio shabiki wa hzo team mbili
ndio maana nasema uwezo wako ni kama kukuMimi sio mzee mwenzako unikome! Rayvanny alituma screenshot zenye maandishi tu na sehemu za picha alificha.
Huyu hamonaizi wako atasema video zake zimetoka wapi mtandaoni
shangazi huwa unaua hapo hapoKwa jinsi threads ziko nyingi inaelekea kichwa hakimaliziki kirahisi,wewe sijui ndio Rayvanny,kwa kutaka revenge inaonyesha Konde kuwashtaki kiliwauuuumaaa,sasa hivi Kondeboy usiachie mpaka Vanny boy mtu mzima awekwe selo,yaani hata kulala lala week nzima police....
Hakufanya kwa bahati mbaya, alitaka ajue ili aumie. Ni kisasi sio suala la ustaarabu hapo.Kweli hawakutumia akili, hafu mwanaume kuvujisha video za uume wa mwanaume mwenzako ni ujinga uliokithiri aisee. Kumbe wasafi ni wajinga na Bora konde kashtaki police na Sasa video ikivuja nyingine wao ndo wahusika. Kwa hili Jambo wasafi wamekuwa wajinga, na huyo baba levo kubwa jinga to much kuropoka.
N. B Mimi sio shabiki wa hzo team mbili
Usimlaumu majaniTuangaliege na wanawake wa kuzaa nao.Hii vita anaumia zaidi ni Paula,japo mwenyewe na mama yake hawajui.
Halafu Majani mwenyewe hana time ndio kwanza leo anaitangaza project mpya ya Raptcha.
View attachment 1752833
Sasa Harmo anaenda mahakamani,kama Ray akisema kazipata kwa Paula,halafu Paula wakambana akazionyesha na yeye si anakuwa na kesi ile ile kama ya Rayvanny ya kusambaza picha za uchi wake.
Subiria sense jela au alipishwe faini ndio utaelewaRayvanny alikuwa anaenjoy na demu wake Paula kiroho Safi yaani , jitu likakurupuka huko chitoholi et Baba ake Lina machungu ha haaaa ..... Likaenda mahakamani , ma-mae watoto wa mjini wakaema ngoja tukuonyesheee ...... Paula ataendelea kuliwa , huyo konde hakuna atakacholipwa na hakuna kitu atafanya .... Na akizingua zaidi anapewa tena , video zake zipo nyingi tuu
Ni mumeo? Huwa anakukaza?Subiria sense jela au alipishwe faini ndio utaelewa
Sijawahi mkubali harmonize Ila kwa hili Niko pamoja nae
Kojoa ukalale wewe.Kweli hawakutumia akili, hafu mwanaume kuvujisha video za uume wa mwanaume mwenzako ni ujinga uliokithiri aisee. Kumbe wasafi ni wajinga na Bora konde kashtaki police na Sasa video ikivuja nyingine wao ndo wahusika. Kwa hili Jambo wasafi wamekuwa wajinga, na huyo baba levo kubwa jinga to much kuropoka.
N. B Mimi sio shabiki wa hzo team mbili
Kojoa ukalaleKwa jinsi threads ziko nyingi inaelekea kichwa hakimaliziki kirahisi,wewe sijui ndio Rayvanny,kwa kutaka revenge inaonyesha Konde kuwashtaki kiliwauuuumaaa,sasa hivi Kondeboy usiachie mpaka Vanny boy mtu mzima awekwe selo,yaani hata kulala lala week nzima police....
Kamtandikie mumeo, usiku umpe daku.Kwahy mlivyokua mnasambaza video mlitaka awachekee kama vip baba levo na wcb yote ifungiwe tafrah sana
Umeishia la ngapi chief ? Nguo uvue mwenyewe , camera ya simu yako mwenyewe , ujirekodi video mwenyewe , utume mwenyewe , zisambae uanze kulaumu tena 😀 kaa mkao wa Kula to night inaachiwa nyingine tenaSubiria sense jela au alipishwe faini ndio utaelewa
Sijawahi mkubali harmonize Ila kwa hili Niko pamoja nae
Hii ni very serious issues harmonize asingetumia hii njia ingemshusha chiniMmakonde ana roho mbaya sana ni vile wabongo hawamjui tu na mambo ya timu.
Enzi za ujana wao smartphone za kujirekod video zilikuwa bado, mitandao kama insta ilikuwa bado, kusambaa kwa habari mpaka gazeti la shigongo litoke ndipo ukasome matukio ya week. Siku hizi habari in real time na from the source.Mbona akina AY, FA , J wa mitulinga, jide, Noorah, K lube, Bizman, hawakua hivi walivo akina harmo na babalevo japo na wao wanamafaili yao lakini hayakua ya kuua hadi muziki wenyewe?
Kila mmoja anatunisha misuri, wasafi wao raisi wa sasa ndiye alikuwa mgeni rasmi kwenye tuzo zao za wanawake mwezi uliopita 😅😅😅Narudia kusema tena madam, mimi nipige picha na wakuu wa majeshi na mainspekta wakubwa halafu unichafue kwenye media?? Utasugua gaga segerea au ukikaza sana lazima mabilioni ya fidia yakutoke...subiri muone
Kwenu mwenye roho nzuri hapa duniani si ni domo tu na kundi lake. Wengine wote ni mashetani kwenu.Mmakonde ana roho mbaya sana ni vile wabongo hawamjui tu na mambo ya timu.