Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 27, 2024 #1 Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Your browser is not able to display this video.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Nov 27, 2024 #2 Cute Wife said: Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masak Click to expand... Tlaatlaah nae atekeleza wajibu huo muhimu wa kukatiba saa5:59 asubuhi hii π
Cute Wife said: Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masak Click to expand... Tlaatlaah nae atekeleza wajibu huo muhimu wa kukatiba saa5:59 asubuhi hii π
Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 27, 2024 Thread starter #3 Tlaatlaah said: Tlaatlaah nae atekeleza wajibu huo muhimu wa kukatiba saa5:59 asubuhi hii π Click to expand... Vile nikasoma saa kwa kizungu, nikataka nikuulize kura ya wapi hiyo maana ungepigwa roba mujarab
Tlaatlaah said: Tlaatlaah nae atekeleza wajibu huo muhimu wa kukatiba saa5:59 asubuhi hii π Click to expand... Vile nikasoma saa kwa kizungu, nikataka nikuulize kura ya wapi hiyo maana ungepigwa roba mujarab
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Nov 27, 2024 #4 Cute Wife said: Vile nikasoma saa kwa kizungu, nikataka nikuulize kura ya wapi hiyo maana ungepigwa roba mujarab Click to expand... siku nyingine nitaandika kwa maneno matupu pekee, bila ya namba ili kuondoa utata my lady, pole na tafadhali sana. nimefurahishwa na utulivu wa waTanzania, lakini pia utaratibu rahisi mno wa kupiga kura π
Cute Wife said: Vile nikasoma saa kwa kizungu, nikataka nikuulize kura ya wapi hiyo maana ungepigwa roba mujarab Click to expand... siku nyingine nitaandika kwa maneno matupu pekee, bila ya namba ili kuondoa utata my lady, pole na tafadhali sana. nimefurahishwa na utulivu wa waTanzania, lakini pia utaratibu rahisi mno wa kupiga kura π
Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Nov 27, 2024 Thread starter #5 Tlaatlaah said: siku nyingine nitaandika kwa maneno matupu pekee, bila ya namba ili kuondoa utata my lady, pole na tafadhali sana. nimefurahishwa na utulivu wa waTanzania, lakini pia utaratibu rahisi mno wa kupiga kura π Click to expand... Kwakweli!
Tlaatlaah said: siku nyingine nitaandika kwa maneno matupu pekee, bila ya namba ili kuondoa utata my lady, pole na tafadhali sana. nimefurahishwa na utulivu wa waTanzania, lakini pia utaratibu rahisi mno wa kupiga kura π Click to expand... Kwakweli!