LGE2024 Dar: RC Chalamila ashiriki zoezi la kura uchaguzi serikali za mitaa

LGE2024 Dar: RC Chalamila ashiriki zoezi la kura uchaguzi serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masak​

Tlaatlaah nae atekeleza wajibu huo muhimu wa kukatiba saa5:59 asubuhi hii 🐒
 
Vile nikasoma saa kwa kizungu, nikataka nikuulize kura ya wapi hiyo maana ungepigwa roba mujarab
siku nyingine nitaandika kwa maneno matupu pekee, bila ya namba ili kuondoa utata my lady, pole na tafadhali sana.

nimefurahishwa na utulivu wa waTanzania, lakini pia utaratibu rahisi mno wa kupiga kura 🐒
 
Kwakweli!
 
Back
Top Bottom