Prince216
Member
- Mar 28, 2014
- 11
- 14
Usikimbilie tu kusema mtu anapaki sehemu isiyoruhusiwa.....sehemu open space hakuna kibao kinanionyesha no parking na sihatarishi usalama wa watumiaji wengine wa barabara nikisimama hapo hat kuongea na simu tu wanakuja wananiambia nimepaki vibaya hata ingekua wewe ungekubali?Cha muhimu ni watu wafuate sheria. Kama mtu anapaki sehemu isiyoruhusiwa inatakiwa ..... elimu peke yake haiwezi kusaidia epecially kwa sisi wabongo. Labda tatizo ni jinsi gani sheria au adhabu inasimamiwa.
Usiongee kwa mihemko kwa sababu labda halijakukuta wewe