Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Mimi siyo polisi na siwezi kuwa polisi, kuopen fire ovyo ovyo kivipi, askari anaona mwenzie anataka kupokonywa silaha afanyeje?, aangalie tu?
Bora wauane tu waishe wote. Tubaki ss raia.
Hawa polisi na wanajeshi huwa siwakubali hata siku moja. Wanakauli chafu na wanatumia ubabe.
Kwan ukimwambia mtu kiustarabu unapungukiwa nini mpaka umkaripie? Mwanajeshi na polisi ni vitengo tofauti na mwanajeshi siku zote huwa anajiona juu.
Ni sawa ukutane na dogo mtaani akuambie ww toka hapo? Hata ningekuwa mjeshi pilisi hawezi kunikaripie kijinga hivyo.
 
Shida Kuna hii kitu kwa askari wetu wa jeshi la polisi inferiority complex, askari wa bongo hawawezi kumuelekeza mtu kistaarabu sijui wakiongea kistaarabu wanahisi watadharaulika... anyways pole wafiwa.
 
Ni kweli, kuhusu yule kijana wa kurasini, inasikitisha sana, je huyu anayejibu kwa jeuri kuwa MSINIAMRISHE, na yeye utasema hakuweza kusikia?
 
Ni kweli, kuhusu yule kijana wa kurasini, inasikitisha sana, je huyu anayejibu kwa jeuri kuwa MSINIAMRISHE, na yeye utasema hakuweza kusikia?
Kweli mkuu, kwa uzoefu wangu nijuavyo mimi wanajeshi wengi wanapenda ubabe yani wao ndio wao kwahiyo walikutana jeuri na kiburi matokeo yake polisi wakauwana, ila polisi alikuwa kazini..
 
Mkuu unaonyesha una watetea sana hawa watu
Sasa nikuulize wewe kwa faida yako na wanajamii wengine.

Malima alikuwa na sababu gani ya kumuwekea kitambi huyo askari???

Tuwaache askari maana akili zao tumeshazielewa,
 
Tupaze sauti sababu ya mjeda asiyetaka kutii amri halali na kufuata maadili ya kazi yake?

Hata kama alivaa sare za jeshi bado tahadhari ilihitajika. Kuna wahalifu kibao wametumia sare za majeshi.

Pole kwa wafiwa na huyo mjeda lazima awajibike.
Alivaa kiraia
 
nakumbuka nilisahawahi kusema jambo nisilokuwa na uhakika ka wewe ila nilijifunza baadae ka hujui kitu bora usisema maana kusema kupo, keep it in your mind
 
nakumbuka nilisahawahi kusema jambo nisilokuwa na uhakika ka wewe ila nilijifunza baadae ka hujui kitu bora usisema maana kusema kupo, keep it in your mind
lower second? lower second? wapo wato wana doc
TUNASHUKURU KAMA HUYO Mwanajeshi yuko salama

Polisi, alishndwaje kuvumilia jamaa atoe hela kwa sababu ni kitendo cha dakika moja tu

Halafu sheria ya bunduki, usikwoneshe mtu ambaye huna nia ya kumpiga risasi
kweli wabongo wazito kufikiria ulishawahi kukuta ATM inawekewa hela nawe ukatoa? vitu vingine nasie huwa twajitakia wenyewe ka mtua aliambiwa asubirie ye akalazimisha tena akashika silaha we unafikiria ka ndo wee ungefanyaje?
 
Kosa kubwa la Polisi hapo ni lugha ya kibabe kwa mwanajeshi.Na hata hivyo asingeweza kutoa pesa katika ATM kwasababu ATM huwa aifanyikazi wanapokuwa wanaweka pesa.

Lugha ya kibabe ndo imewaponza Polisi.
Jangwani panapitika
 
Kuwatetea polisi wetu ni kazi kubwa sana, hata hivyo wapo wachache wanafanya kazi kwa weledi. Hiyo ya mjeshi imewahi kunitokea Makumbusho lakini jamaa waliniekeza kwa busara nisubiri kidogo. Polisi wanatakiwa kuwa na hekima zaidi ya wanajeshi lakini kwa bahati mbaya sana ni kinyume chake
 
mkuu nimeamini uko vizuri katika mtizamo maana kwaharaka haraka mie najua yule mwanajeshi hakuvaa uniform coz najua picha nzima ila watz kwakushadadia wakwanza hata ka jambo hawalijui pili wakati wa kuweka ni amri moja hakuna mtu kwenda kutoa so mbona wengine walitiii? kwani angetii angepata hasara gani? tatizo ni kupenda kujikwaza kusiko kuwa na tija kapata ulemavu pia ajira yake ipo rehani
 
Alivaa kiraia
Kama alivaa kiraia ndio kakosea sana.
Hapo askari polisi analaumiwa nini?
Sana sana alitakiwa marehemu alaumiwe kwa kumsogelea sana huyo aliekuwa anakaidi amri kiasi cha kumpa mwanya wa kushika silaha yake.
 



MKUU WALIMKUTA MWANAJESHI KAZAMA ATM ANATOA HELA

HIVYO SYO KWAMBA YY NDO KAWAKUTA WANAWEKA HELA

WW NDO HUJAELEWA.
 
what if mwanajeshi aliona kulikuwa na hatari zaidi za yeye kupigwa risasi? Mwandishi anasema, lile gari la pesa lilipofika, wale jamaa walimwamrisha aondoka mara moja ndiyo mwanajeshi akawaambia wamwambie kistaarabu ndiyo shida ilipoanzia ambapo yule marehemu akaikoki. Kuna haja ya kufanya uchunguzi wa kina zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…