McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,353
- 1,639
Bora wauane tu waishe wote. Tubaki ss raia.Mimi siyo polisi na siwezi kuwa polisi, kuopen fire ovyo ovyo kivipi, askari anaona mwenzie anataka kupokonywa silaha afanyeje?, aangalie tu?
Hawa polisi na wanajeshi huwa siwakubali hata siku moja. Wanakauli chafu na wanatumia ubabe.
Kwan ukimwambia mtu kiustarabu unapungukiwa nini mpaka umkaripie? Mwanajeshi na polisi ni vitengo tofauti na mwanajeshi siku zote huwa anajiona juu.
Ni sawa ukutane na dogo mtaani akuambie ww toka hapo? Hata ningekuwa mjeshi pilisi hawezi kunikaripie kijinga hivyo.