Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Dah nchi hii POLISI hata wakienda kikosi kizima kupambana askari wa JWTZ tena PRIVATE asiye na silaha wanaweza kufa WOTE

Huu ni kweli mchungu,msiamini mtakacho tangaziwa kuwa kapewa adhabu kali.Ni uongo mkuu hata kama kesi itafika kisutu!
Duuuh,,,,,,,sawa kumbe kama ni hivyo basi mambo sio mabaya huko kwenu TPDF
 
Kozi gani ya miezi 6 tu?
Hiyo ni Kozi au Semina?
Polisi ni wa Tz ni janga....
Hongera Mjeda (JWTZ)....
 

Tatizo Bongo wapiganaji wengi darasa la saba ujinga wao ni mwingi sana. Huwa nikiona comment za mtindo huu nazidi sikitikia ujinga mwingi uliopo hii nchi.

Tambua tu bila Polisi huyo mwanajeshi hapa hakai kwa amani na vile vile bila mwanajeshi huyo polisi hakai kwa amani hapa.

Jurisdiction ya polisi na mjeshi ni vitu viwili tofauti na muhimu sana kwa hii nchi.
 
Sipendelei amani hapa nchini kuvunjwa kwa hawa askari wa vikosi viwili ambavyo kila kimoja kina majukumu yake na kila mmoja anajivunia majukumu yake lakini mida mwingine kutokana na kauli zao pamoja na uonevu wa polisi huwa nasema ni bora waendelee kupasuliwa tu hadi pale watakapokuwa wanafanya kazi zao kwa haki na usawa.
Nilichojifunza polisi akijua anaemtupia maneno ni mwanajeshi basi huwa anazidisha makusudi ili lengo lake likiwa ni kujichukulia ujiko na yeye aonekane yupo vizuri.
Polisi bila silaha hamna kitu, ndio maana kujihami kwao ni kufyatua risasi ovyo.
 
Risasi zinaendelea kurindima. Ila risasi za siku hizi kwanza zinapigwa bila sababu pili zinalengwa kwa wasiohusika.

RIP Akwilina. [emoji22]
 
Daaaah pole sana mwanajeshi na sijui kwanini hakumnyanganya kabisa ile bunduki na kulenga yule pimbi aliyekuwa amebaki kwenye gari nawachukia sana hawa mbwa wa kaki ***** zao narudia tena pole sana mwanajeshi Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Nimecheka sana kwa nini hamuwapendi Polisi???????
 
Kuna lugha ya kumwambia mkubwa wako syo kumwamlisha, utajusikiaje we kuamlishwa Na mwanafunzi wako???
 
Mbona ya jeshi miezi mi4
Na ile minne ya JKT? Then usijaribu kuneutralize mambo, wanajeshi mara kwa mara wanakwenda kozi mbali mbali tena kwa level mbali mbali, na kozi nyingine muda unatofautiana.
 
Kuna vyeo vile vya bure huwa wanapewa kwa kumfanyia ubaya mjeda Mimi nilishakakosa katrafic hapo tazara
 
Kuna vyeo vile vya bure huwa wanapewa kwa kumfanyia ubaya mjeda Mimi nilishakakosa katrafic hapo tazara
Kumbe ndio maana[emoji41] [emoji41] basi ngoja waendelee kufukuza moto sisi raia tuone watakavyokuwa wanapasuliwa, tuje kuchangia kwenye nyuzi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…