Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

[HASHTAG]#kichapo[/HASHTAG] cha mbwa mwitu.
 
Mkuu endelea kujipa nguvu ila sisi ndio tunaojua udhaifu wa wajeshi wetu yani wanapigwa mbaka na raia then wanaenda kujikusanya kikosini ndio wanakuja kupiga wasio na hatia. Wana misifa sana ila hamna kitu ya afadhali kidogo makomando wapo vizuri.
 
polo ukimpiga askari jeshi mmoja haina maana kuwa umepiga wote.
Kuna askari wapo vizuri na wapo mananga kila jeshi hao wapo.Na suala la nidhamu hilo ni hulka na tabia za mtu
 
Polisi Wetu wana zarau sana!!labda walimpa tahadhari na matusi mazto juu ili wauze mbele ya raia kwan nan asiye wajua kwa mauzo? Nae mwanajeshi pengine hakupenda watu wauze kupitia mgongo wake..
 
Nchi yeyeto ile polisi siyo lolote siyo chochote mbele ya Jeshi. Kikinuka polisi wanaamriwa KAENI KAMA RAIA! Amini usiamini polisi wanavua magwanda na kwenda kujificha mvunguni mwa vitanda vyao. Jeshi siyo polisi bwana.
Nchi gan mkuu walowahi kufanya ivyo samahan lakini naomba unielimishe
 
Mkuu endelea kujipa nguvu ila sisi ndio tunaojua udhaifu wa wajeshi wetu yani wanapigwa mbaka na raia then wanaenda kujikusanya kikosini ndio wanakuja kupiga wasio na hatia. Wana misifa sana ila hamna kitu ya afadhali kidogo makomando wapo vizuri.
Unazungumziaje hilo la polisi wawili wenye silaha kuzinguliwa na mjeshi mmoja asiye na silaha?
 
Stori: Richard Bukos, Dar.

My Take;
Polisi wawili kupambana na Mwanajeshi mmoja asiye na silaha na kuishia kuuana wenyewe
ni picha kuwa hawa wanahitaji mafunzo ya uhakika ili unyonge wao wasiutumie kuwaonea raia wasio hatia

MKuu wewe jiulize tu,
Polisi= Miezi Sita Moshi unaingia mzigoni
Mjeshi= JKT Miezi 9, bado jeshini mafunzo tena.
 
Pole sana Askari wetu.
Ila kwa mtazamo wangu mwanajeshi akifanya kosa ambalo lilipelekea madhara yote hayo.

ATM kukiwa na harakati za kuweka pesa utajua tu, na huna budi kua mpole na kusubiri mpaka utakapoona mambo yamekaa shwari.

Sasa Askari anapokupa amri uondoke hua hana maana anakudharau, kwenye hizo kazi lugha ya amri ndio hutumika hakuna kuomba (99% ni amri tu).

Mwanajeshi kosa kubwa alilotenda ni kugoma kuondoka na kubwa zaidi kushika silaha iliyobebwa na Askari anayetekeleza majukumu yake.
Nafahamu kuna polisi vilaza wengi sana hasa wanapokua wamevaa uniforms but hili lisingefika huko Kama mjeshi angeamua kupisha kistaarabu, nafahamu hakuambiwa kistaarabu ila angepisha ingekua bora zaidi.
 
Yani we na Masters yako uende kulinda bank usiku kucha??
Izo ni kazi za watu ambao shule imewashinda...
Cha msingi wafundishwe weledi wa kazi zao na ni wakati gani unaruhusiwa kutumia silaha ya moto....
Wengine wapewe virungu tu na sio SMG
 
Simtetei polisi aliyepiga risasi ila kumbuka kitendo cha mtu asiyekua na dhamana ya kushika/kugusa silaha anapogusa silaha tu tafsiri yake hua ni kunyang'anya silaha.

Hata wewe na Mimi ikitokea Askari tukagusa bunduki yake tafsiri yake ni kwamba tunataka kumpora silaha, hilo yule mwanajeshi alilifahamu kwani ni sehemu ya mafunzo yake sema alishika kwakua anaamini hapaswi kupewa amri na polisi, kuna ile superiority complex (hali ya Askari wa jeshi flani kujiona yeye ni bora zaidi)

Askari wote walikosa busara, but mwanajeshi alikosa busara zaidi.
Nina hakika angekubali kupisha, na Kama asingeshika silaha ile basi yote yasingetokea.

Polisi hawapendwi nafahamu[emoji23] [emoji23]
 
MKuu wewe jiulize tu,
Polisi= Miezi Sita Moshi unaingia mzigoni
Mjeshi= JKT Miezi 9, bado jeshini mafunzo tena.
Usichokifahamu usijaribu kukitolea ufafanuzi mkuu.

JKT miezi 6
Polisi miezi 9
Jwtz kuanzia miezi 4 mpaka 6.(inategemeana na wanavyoelewa kwa uharaka).

Kumbuka mtu anayetokea JKT kwenda polisi miezi ya kozi hubakia ile ile 9 ina maana Kama ni suala la muda basi mtu wa JKT anapoenda upolisi basi atakua kapiga kozi muda mrefu sana kuliko hata Jwtz .

Kozi wanazopiga wakiwa kazini hutegemea nature ya kazi zao.
 
Yani we na Masters yako uende kulinda bank usiku kucha??
Izo ni kazi za watu ambao shule imewashinda...
Cha msingi wafundishwe weledi wa kazi zao na ni wakati gani unaruhusiwa kutumia silaha ya moto....
Wengine wapewe virungu tu na sio SMG
Hujajua maisha wewe.
Masters inakaa kwenye makaratasi yako
Masters hainunui mchele wala sukari.

Kuna wasomi kibao na wako huko huko unakodharau wewe.
 
Hujajua maisha wewe.
Masters inakaa kwenye makaratasi yako
Masters hainunui mchele wala sukari.

Kuna wasomi kibao na wako huko huko unakodharau wewe.
My point is hakuna haja ya kupoteza gharama na muda wa kusoma iyo masters wakati kazi unayoenda kufanya ni kulinda bank ama kusubiri maandamano upige watu mabomu...
Ndo mana wenyewe wanachukua watu waliotaga
 
Wengine baada ya kusoma sana kwa kutumaini kuwa watapata kaxi, so wakikosa kazi ndio pale tumaini hulielekeza kwenye kazi yoyote itakayojitokeza ndio hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…