Sara
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 1,060
- 932
Kwa kweli Tanzania inatisha sana siku hizi! inahuzunisha sanaHii Tanzania inaelekea wapi sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli Tanzania inatisha sana siku hizi! inahuzunisha sanaHii Tanzania inaelekea wapi sijui
[HASHTAG]#kichapo[/HASHTAG] cha mbwa mwitu.duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
Mkuu endelea kujipa nguvu ila sisi ndio tunaojua udhaifu wa wajeshi wetu yani wanapigwa mbaka na raia then wanaenda kujikusanya kikosini ndio wanakuja kupiga wasio na hatia. Wana misifa sana ila hamna kitu ya afadhali kidogo makomando wapo vizuri.Kumbe ndio maana[emoji41] [emoji41] basi ngoja waendelee kufukuza moto sisi raia tuone watakavyokuwa wanapasuliwa, tuje kuchangia kwenye nyuzi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
polo ukimpiga askari jeshi mmoja haina maana kuwa umepiga wote.Mkuu endelea kujipa nguvu ila sisi ndio tunaojua udhaifu wa wajeshi wetu yani wanapigwa mbaka na raia then wanaenda kujikusanya kikosini ndio wanakuja kupiga wasio na hatia. Wana misifa sana ila hamna kitu ya afadhali kidogo makomando wapo vizuri.
Polisi Wetu wana zarau sana!!labda walimpa tahadhari na matusi mazto juu ili wauze mbele ya raia kwan nan asiye wajua kwa mauzo? Nae mwanajeshi pengine hakupenda watu wauze kupitia mgongo wake..duuu, hapo ndo ujue kuwa weled ktk jeshi letu la polisi hamna kabisa, pia ata mwanajeshi hakuwa na hekima hata kidogo na anatakiwa kuadhibiwa vikali, haiwezekan umeshapewa tahadhali ya kutoka eneo hilo na unaona kabisa kitu kinachoendelea kwa mjibu wa sheria na kiusalama, halafu ww unadinda eti kisa ww ni mwanajeshi yaan alishindwa kutambua kwamba hapo kuna tukio linalohitaji usalama zaid, na alikosea zaid alipoishika silaha ya afande kama ni kweli, hapa polisi walitakiwa wamkamate kwa nguvu then wampe kichapo cha mbwamwitu ili ajue kuwa kaingia cha kike, askali aliyerusha risasi hakutumia weled wa kazi.
Nchi gan mkuu walowahi kufanya ivyo samahan lakini naomba unielimisheNchi yeyeto ile polisi siyo lolote siyo chochote mbele ya Jeshi. Kikinuka polisi wanaamriwa KAENI KAMA RAIA! Amini usiamini polisi wanavua magwanda na kwenda kujificha mvunguni mwa vitanda vyao. Jeshi siyo polisi bwana.
Unazungumziaje hilo la polisi wawili wenye silaha kuzinguliwa na mjeshi mmoja asiye na silaha?Mkuu endelea kujipa nguvu ila sisi ndio tunaojua udhaifu wa wajeshi wetu yani wanapigwa mbaka na raia then wanaenda kujikusanya kikosini ndio wanakuja kupiga wasio na hatia. Wana misifa sana ila hamna kitu ya afadhali kidogo makomando wapo vizuri.
Juzi tu mapinduzi ya Zimbabwe polisi waliambiwa wakalale nyumbaniNchi gan mkuu walowahi kufanya ivyo samahan lakini naomba unielimishe
Kwa iyo vituo vyote vilifungwa?Juzi tu mapinduzi ya Zimbabwe polisi waliambiwa wakalale nyumbani
Waliamriwa waondoke, kila mmoja akajiunge na familia yake ili jeshi lifanye yakeKwa iyo vituo vyote vilifungwa?
Stori: Richard Bukos, Dar.
My Take;
Polisi wawili kupambana na Mwanajeshi mmoja asiye na silaha na kuishia kuuana wenyewe ni picha kuwa hawa wanahitaji mafunzo ya uhakika ili unyonge wao wasiutumie kuwaonea raia wasio hatia
Sawa mkuuWaliamriwa waondoke, kila mmoja akajiunge na familia yake ili jeshi lifanye yake
Yani we na Masters yako uende kulinda bank usiku kucha??Karma is a bit....ch
Jeshi la polisi lilifaa liundwe na wasome yaani wenye elimu ngazi ya degree na masters wenye G.P.A 2.5 kwasbb polisi ni msimamizi na muangalizi wa sheria.
Waliofeli form 4 walipaswa kwenda JWTZ, na magereza. Km jeshi la polisi linageuzwa tawi la chama fulani. Unategemea nini kitatokea? Raisi anasema hakuna siasa. Je, sheria na katiba zinasemaje? Leo ccm wakifanya mkutano hakuna shida sasa ngoja vyama upinzani vifanye mkutano. Polisi watakuja kuvamia utafikiri hapo ni mkutano wa kikundi cha magaidi.
Jiulize km hapo. Mtu hana bunduki lkn unamtishia bunduki halafu cha kushangaza mwenzake analenga tu hana hata shabaha.
Hapo kulikuwa hakuna haja ya kutumia silaha. Ni mazungumzo tu sbb wote wapo kwenye sekta moja lkn vitengo tofauti.
Kazi kweli kweli
Simtetei polisi aliyepiga risasi ila kumbuka kitendo cha mtu asiyekua na dhamana ya kushika/kugusa silaha anapogusa silaha tu tafsiri yake hua ni kunyang'anya silaha.Huyu mwanajeshi ni hodari wa kujikinga.
Nahisi aliona mfyatua risasi anamlenga kisha akamuweka polisi kama kinga.
Polisi haruhusiwi kufyatua risasi kwa mtu ambaye hana silaha.
Ingetokea mwanajeshi amemnyang'anya polisi silaha na kutaka kuitumia kupiga, polisi angekuwa na haki ya
kutumia silaha yake.
Kuna mapungufu makubwa sana kwa polisi wetu katika kanuni za kutumia silaha za moto wakati wa matukio madogo.
Usichokifahamu usijaribu kukitolea ufafanuzi mkuu.MKuu wewe jiulize tu,
Polisi= Miezi Sita Moshi unaingia mzigoni
Mjeshi= JKT Miezi 9, bado jeshini mafunzo tena.
Hujajua maisha wewe.Yani we na Masters yako uende kulinda bank usiku kucha??
Izo ni kazi za watu ambao shule imewashinda...
Cha msingi wafundishwe weledi wa kazi zao na ni wakati gani unaruhusiwa kutumia silaha ya moto....
Wengine wapewe virungu tu na sio SMG
My point is hakuna haja ya kupoteza gharama na muda wa kusoma iyo masters wakati kazi unayoenda kufanya ni kulinda bank ama kusubiri maandamano upige watu mabomu...Hujajua maisha wewe.
Masters inakaa kwenye makaratasi yako
Masters hainunui mchele wala sukari.
Kuna wasomi kibao na wako huko huko unakodharau wewe.
Wengine baada ya kusoma sana kwa kutumaini kuwa watapata kaxi, so wakikosa kazi ndio pale tumaini hulielekeza kwenye kazi yoyote itakayojitokeza ndio hiyo hiyo.My point is hakuna haja ya kupoteza gharama na muda wa kusoma iyo masters wakati kazi unayoenda kufanya ni kulinda bank ama kusubiri maandamano upige watu mabomu...
Ndo mana wenyewe wanachukua watu waliotaga
Okay mkuuWengine baada ya kusoma sana kwa kutumaini kuwa watapata kaxi, so wakikosa kazi ndio pale tumaini hulielekeza kwenye kazi yoyote itakayojitokeza ndio hiyo hiyo.