Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Okay mkuu
Cha kusikitisha zaidi baada ya kupata hiyo kazi huwa kama wana msongo wa mawazo, maana wamesoma kwa kutarajia kitu kingine na walichokipata ni kingine, ndipo wanapokuwa na dharau, kiburi, maneno ya ovyo, tena sana sana wakiwaona watu wenye elimu ndogo kuliko wao wakilipwa mishahara kuliko wao.
 
My point is hakuna haja ya kupoteza gharama na muda wa kusoma iyo masters wakati kazi unayoenda kufanya ni kulinda bank ama kusubiri maandamano upige watu mabomu...
Ndo mana wenyewe wanachukua watu waliotaga
Bado huelewi.
Huwezi kujua kila kitu, unawezakujua mambo mengi sawa but huwezi kujua kila kitu.

Kule kwenye hivyo vyombo unavyosema wanachukua waliotaga kuna watu wa fani mbali mbali na elimu kubwa mpaka PhD unawakuta huko.

Elimu ndio huleta tofauti baina yao, lakini kazi ya kwanza ya Askari ni ulinzi, elimu ni nyongeza ya kukufanya ulipwe vizuri na ufanye kazi ya utaalam kuzido wenzako.

Sio kwamba ukiwa na Masters utapangwa kwenda ulinzi benki ukakataa, itabidi ukubali tu maana usipotii amri kijeshi unahesabika huna nidhamu.

Unajua majeshi yanaajiri wataalamu (wenye fani) wangapi kwa mwaka?
Wataalamu wa kule hawavai suti wala kuchomekea mashati ya kumeremeta ndio maana wewe unaona wote hawajasoma.
Nenda Jwtz uone watu walivyopiga shule
Nenda polisi uone watu walisoma
Nenda Magereza uone
Nenda uhamiaji
Nenda Fire.

Maisha ni tofauti na CV yako ya kukufanya uvae suti
 
Unazungumziaje hilo la polisi wawili wenye silaha kuzinguliwa na mjeshi mmoja asiye na silaha?
Hawaja zinguliwa mkuu ila kilichopo jamaa walizinguana pia mdunguaji hajawa na range mzuri, pia huyo jamaa nimemshangaa sana kumsogelea huyo msoja kiasi cha kuwa na zero distance huyu jamaa ndio tunawaita mananga ambao kila jeshi wapo.
 
K
 
MKuu wewe jiulize tu,
Polisi= Miezi Sita Moshi unaingia mzigoni
Mjeshi= JKT Miezi 9, bado jeshini mafunzo tena.
Una wazungumziaje police wanao toka jkt maana wengi ni mananga wanacho jua wao ni kulima tu.. Nahisi ndio wanacho fundishwa, alfu mafunzo ya polisi ni miezi 9 mkuu sio 6 km zamani.
 
Nchi gan mkuu walowahi kufanya ivyo samahan lakini naomba unielimishe
Kenya wakat iltaka kupinduliwa 1982 fuatia police waliambiwa watakua RAIA weme kuanzia muda huo wa matangazo na mtangazaji aliyekua anaitwa Leonard Mambo mbotela ndiye aliye amrishwa atangaze ...Mara nyingi kweny mapinduz ndivyo inavyotokea ...
 
Hawaja zinguliwa mkuu ila kilichopo jamaa walizinguana pia mdunguaji hajawa na range mzuri, pia huyo jamaa nimemshangaa sana kumsogelea huyo msoja kiasi cha kuwa na zero distance huyu jamaa ndio tunawaita mananga ambao kila jeshi wapo.
Huyo police alifanya ufara sana kumsogolea mtu hivyo
 
Una wazungumziaje police wanao toka jkt maana wengi ni mananga wanacho jua wao ni kulima tu.. Nahisi ndio wanacho fundishwa, alfu mafunzo ya polisi ni miezi 9 mkuu sio 6 km zamani.
Tatizo la hao ni kwamba wamelelewa na TPDF muda mwingi na siunajua tena kule polisi wanavyoitwa sasa wakienda mafunzo ya upolisi wanakuwa na mapuuza sana
 
Every one after events is Wise ..hatuwez jua izo zarau za polis zlikua kwa kiwango gan mm na ww!! Unajua kuna anaweza kukuonyesha zarau ukaamua liwalo na liwe hata kama litasababisha mbingu kuanguka na ianguke tuu
 
Mkuu mm huwa najiulza kwa nn wanapenda sana wapate sifa kwa vtu visivyo na maana? ivi huwa kuna ulazma polisi kukaa akiwa amevuta sura kla muda hata kama hakuzaliwa ivyo ili watu waogope? Kwan mtu akieleweshwa vizur bila mikwara hawez kuelewa ? Mnataka kunambia RAIA(nasema RAIA maana jwtz alikua amevaa kiraia na polisi pia alzani ni RAIA ambao kla siku sana makovu ya makofi ya polisi kwa kukutwa SAA tatu usku barabaran) ambaye labda alitaka kutoa ela ATM kuna ulazma wa kumharass kwa kumuelekezea silaha ya moto huku akiwa hana silaha ameshka tu kadi ya ya ATM? Hata kama ni eneo hatar muda huo ukiongea vizur kua apishe kuna utaratibu unafanyika kwel hawez kuondoka?
 
Tatizo la hao ni kwamba wamelelewa na TPDF muda mwingi na siunajua tena kule polisi wanavyoitwa sasa wakienda mafunzo ya upolisi wanakuwa na mapuuza sana
Kwel kule kweny malez jwtz huwa kuna kamwimbo flan ka kuwaponda polisi "..polisi ....Wetu wakilikoroga watalinywaaa Leooo leoooo polisi ....Wetu.. Sasa nazan alipowaona polis yule jwtz alikumbuka kawimbo kao akaona polis kalikoroga ivyo anatakiwa alinywe
 
Una wazungumziaje police wanao toka jkt maana wengi ni mananga wanacho jua wao ni kulima tu.. Nahisi ndio wanacho fundishwa, alfu mafunzo ya polisi ni miezi 9 mkuu sio 6 km zamani.
Ww muongo mm nlikua CCP siku moja na mlenga shabaha na mpiga kwata wazur walikua wamepitia Jkt na mmoja alikua rafki yetu sasa huo unanga unaosema ni wa wapi? Unless unambie ujui nanga ni nn?
 
Sijawahi ona!
 
Kenya wakat iltaka kupinduliwa 1982 fuatia police waliambiwa watakua RAIA weme kuanzia muda huo wa matangazo na mtangazaji aliyekua anaitwa Leonard Mambo mbotela ndiye aliye amrishwa atangaze ...Mara nyingi kweny mapinduz ndivyo inavyotokea ...
Kwa iyo vituo vinafungwa na je magereza pia wanalinda jeshi au wadungwa wote wanaachiwa huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…