Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Wewe nawe huwa unaleta mada za jela na kutetea watu kupekuliwa matako unashindwa kuelewa suala la wazi kama hili? Pale ishu siyo ATM kutoa pesa au kutotoa pesa, suala ni usalama wa pesa na maisha ya askari wanaosimamia hilo zoezi hilo, hapo ni UBABE, nasema tena ni ubabe unatakiwa kutumika pale, sio ombi wala kubembelezwa, ni amri, hivi mkuu kweli hujui kabisa kwamba amri ni ubabe?Kosa kubwa la Polisi hapo ni lugha ya kibabe kwa mwanajeshi.Na hata huvyo asingeweza kutoa pesa katika ATM kwasababu ATM huwa aifanyikazi wanapokuwa wanaweka pesa.
Lugha ya kibabe ndo imewaponza Polisi.