Alafu gari yake amwachie nani barabarani? Au unafikiria kwamba watu wote wanapanda daladala?Shuka utembee kwa miguu kiongozi
daradara ndio nini?Alafu gari yake amwachie nani barabarani? Au unafikiria kwamba watu wote wanapanda daradara?
daradara ndio nini?
Oh just mistyping error. Turudi kwenye swali langu mkuudaradara ndio nini?
aweke gari parking aifate keshoOh just mistyping error. Turudi kwenye swali langu mkuu
Nalo ni wazo zuri issue ni kusogea mpaka uikute hiyo parking na barabara haina mchepuko eneo ulilopo😀aweke gari parking aifate kesho