DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Hivi we alhad mussa kwa imaan gani ya dini ulionayo mpaka uwe na uwezo wa kumshtakia mtu anae kuuzi kwa mungu na akapokea duaa yako we huna imaan sheikh
 
hahahaha albadil inamuhusu akiendeleaa
kinywa kichafu siku zote hunena mabaya na si mema.mange kimambi dada yetu [HASHTAG]#ukatubu[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Albadili mliomba kwa Lissu na haikufanya lolote uhuni huo waambieni wajinga
 
Aisome tuone, kweli viongoz wetu Mungu awanusuru yaan anaita waandishi wa habari kujibu dada mmoja.
 
Am sure 100% huyu shekh either hajui Dini au anatumika vibaya
 
Da Mange ashaliipua ballistic missile anasema shehe ni mtu kwenye tabia za watu wa Mombasa ,anakula majicho
Kachokoza Nyuki bwa Shehe ,yule binti alishajivisha mabomu wa nini kumchokoza ona sasa anavyoharibu huko Instagram
 
Kiongozi mkubwa wa dini kama huyo alitakiwa kua na moyo wa uvumilivu na subira pia sio kukurupuka kama alivyofanya yeye.

Manabii wenyewe walipitia misuko suko mingi na mikubwa kuliko yeye na walivumilia na kumuachia Mungu au kuwaombea wakosefu kwa Mungu awapitishe njia sahihi.

Sasa Shekh hilo ni povu na anazidi kukoleza vita na mange istoshe yy ni mtoto wa kiume sasa hizo ni taarabu dhidi ya mtoto wa kike

Ata madai ya mange kwa shekh ndio madai ya waislamu pia mana hawaelewi kabisa nyendo za mwana....
 
Alipashwa amuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshe kwenye mstari na sio kumlaani,
Mtume alipigwa mawe na akawaombea waliompiga Mungu awasamehe, Yesu pia aliwaombea wakosaji wasamehewe
Kwani na yeye shekh anamwamini yesu?
 
Shee umtishi MTU yoyote kwani wewe ni mungu acha kutisha watu watu hawaogopi akiondoka yeye wapo wengine achana na siasa ulitakiwa uonekane msikitini au kwenye miadhara kwani kuwa shekhee mkuu au wa mkoa ndio uogopewe anaeogopewa ni mungu nasio kiumbe chochote inshaalah
 

Mange kama atabahatika kubakiwa na chembe ya utu basi hana budi atubu na kuomba radhi....kama kazaliwa kama wengine atambue kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha!! Na ni Mola pekee anayejua jua yote ya hapa duniani na akhera!!
 
Believe me
Tafuta kisa cha kina Henri Nyiti!
Dhuluma ni mbaya sana!
Mbona kama unamtetetea sana huyo shekh?,alichokisema huyo dada juu ya shekh kina ukweli au hakina ukweli?,tuanzie hapo kwanza
 
kwa uweza wa mungu tunamuombea awepo na muumba ampe maisha malefu nguvu afya na akili nyingi amin
 
Mm ni mwislam ila huwa simkubali huyu shekh hajawahi kufikiri namna ya kuwaletea waislam maendeleo tofauti na kufikiria mialiko ya maakuli na ccm pamoja na serikali.Kwanza wislam ni dini yakusamehe yeye anataka kuoomba dua ya kumuangamiza ajitathimini ili apate jibu sahihi kwann huyo mdada kamtukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…