Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 293
uckute hata wakuu wa dini wote wapo humu,,tunachoranakumbe naye yuko jf
Mkuu nimesema mm au kasema Mange,Oh! Kumbe Mange...!! Yaani kwavile Mange kasema ndo basi tena unashindwa kutumia uelewa wako mwenyewe kupima?!
Kwanza nini maana ya kuchanganya dini na siasa?! Huyo Sheikh alikuwa anaongea mambo ya siasa msikitini hadi useme anachanganya dini na siasa?!
Isitoshe, picha ambayo uliisema wewe ni hii hapa:
View attachment 691081
Hapo juu unaona maelezo yanasema " Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu Akimkarisbisha Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam"
Hivi sasa Mbunge wa Temeke ni Abbas Mtemvu?!
Maelezo zaidi ya hiyo picha yanasema:
Kumbe kulikuwa na Mkutano Mkuu wa Jimbo la Temeke... lakini kwa kuwa mnameza kila mnacholishwa na Mange, mkakubali tu kwamba alikuwa kwenye kampeni za Ubunge Kinondoni!!!
Lakini mbaya zaidi, ni wakati Mbunge wa Temeke ni Abbas Mtemvu ambae hakurudi tena bungeni kwenye uchaguzi wa 2015. Kumbe kwa maana nyingine, mmelishwa matango pori kwa kuwekewa picha za zamani!!!
Picha zingine za hilo tukio ni hii hapa:
View attachment 691083
View attachment 691086
Na hili usidhani kwamba ni photoshop, tukio zima lipo hapa!
Au ni picha zipi hizo unazosema kwamba alikuwa anachanganya dini na siasa?!
Hizo picha ni mikutano ya nini. Kwa nini Shehe kila mahaliMkuu nimesema mm au kasema Mange,
Picha nnayo sema mm siyo hiyo,hiyo ni unayoitaka wewe kwa malengo yako
Huyo sio kiongozi wa diniKiongozi wa dini badala ya kusamehe yeye anamuombea mtu mabaya anajenga Picha gani kwa waumini, visasi
Wapo unadhani wacha Mungu ama viongozi wa dini ni wachafu na wazinifu kuliko hata huyo unae mtukana kahabaMalaya mtukanaji yule, msipoteze muda kumjibu....
Nijibu ninacho ulizaKama sio hizo nilizoweka mimi, weka unazosema wewe hapa tuzione...
Kumbe huyu jamaa ni mweupe kiasi hiki! Mahakama ya mbingu gani hiyo ambayo tiyari hukumu yake anaijua? Nakumbuka maneno ya mwana falsafa mmoja kuwa watu dhaifu hulipa visasi, watu wenye nguvu husamehe na wenye busara hupuuza
Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salim hivi sasa anazungumza na waandishi wa vyombo vya habari kuhusiana na kuhusishwa na kampeni zinazoendelea katika Jimbo la Kinondoni.
=====
Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mussa Alhad ameelezea picha inayosambaa kwenye mitandao inayomuhusisha yeye kufanya kampeni ambayo yumo yeye na pembeni kuna mgombea wa CCM jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia akila chakula pamoja na wenzake wa CCM. Amesema picha ilipigwa akiwa kwenye maziko ya Sheikh Masoud Ismail, amesema yeye ni kiongozi na mtu yeyote anaweza kupiga picha na yeye.
Amedai Mange Kimambi amekuwa akitukana viongozi mbalimbali kwenye Instagram na kusema pia alimtukana mufti wa Tanzania baada ya kuipongeza serikali na Rais John Magufuli.
Sheikh Alhad amesema ametukanwa kwa dhulma na uadui na kudai Mange anautumia ulimi na mikono yake vibaya kudhulumu watu(Heshima zao).
Alhad amesisitiza huu ni mwaka wa mwisho kwa Mange na baada ya mwaka huu hatamtukana mtu yeyote kwa kutumia ulimi au mkono wake kwa sababu amejihalalishia mwenyewe maangamizi kwa mkono wake. Amesema atamshtaki kwenye mahakama ya Mbinguni.
Juu ya tuhuma za Sheikh kushiriki siasa, soma => Picha za Sheikh Alhad Mussa na makada wa CCM zinatoa tafsiri gani? BAKWATA toeni ufafanuzi
Amesema kuna watu walimpa rai asimjibu kwani atamtukana sana na kudai wao wanataka aendelee kutukana na hatasikia sauti yake baada ya leo ikimjibu na yeye andelee kutukana.
Alhad amesema hawezi kujiingiza kwenye kampeni ya kuipigia debe CCM, amesema CCM ina kawaida ya kualika viongozi wa dini na chama chochote kinaweza kumualika kwenye jambo lake. Amesema ajabu, picha zake ndio zinaanikwa lakini za viongozi wengine hazianikwi.
Katika hatua nyingine, Sheikh ameiambia NEC kuhusu JamiiForums ambao wameandika kwamba sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam: Hivi mnajua kama anafanya kampeni Kinondoni! Alhad amesema watachukua hatua za kisheria ili wathibitishe sheikh wa mkoa wapi amefanya kampeni, kwa kuhudhuria kwenye maziko au sababu ya picha!.
Hivyo kuhusu JamiiForums, wataona namna gani ya kushughulika nao kisheria na wengine wote ambao kwa namna moja au nyingine, wajiingiza katika jambo hilo kichwa kichwa bila kulijua ili kuvunja heshma zao.
Baada ya kutoa sapoti hukoKakobe,gwajima wametoa support waziwazi haikuwa tatizo,Leo hii mzee wa watu kuonekana kwenye picha na ishu zingne tu na sio kampeni imekuwa shida.
Full matusi kila kona...kuweni na adabu na ndio maana sina chama ni uhmshuzi mtupu.
Ninacho jaribu kukuelewesha ni kuwa!Si kila kiongozi ni mtu wa Mungu kuna wengine ni watu wa Ibilisi sasa jiulize walifikaje huko juu soma hapa
[emoji116]
16 Kwa maana wawaongozao watu hawa ndio wawakoseshao, na hao walioongozwa na watu hao wameangamia.
Isaya 9 :16
Mara ngapi tumesikia masheikh, mapadri na hata maaskofu wamefumwa wakizini na hata kulawiti?
Hivi unajua kuwa kuna viongozi wa kidini walifika hapo kwa hongo? [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulia kabisa viongozi wengine ni takataka kabisa
Mkuu umenichekeshaAliyemshauri kumjibu Mange ndio kakosea.. Pole sana kwa sheikh, ila Mange kamwambia ukweli mtupu... Mange ni mwana TANU yule, hivi mnazikumbuka ahadi kumi za mwana TANU? Basi Mange anaziishi zile ahadi zote hasa ile ahadi inayosema "8.Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Na kama kuna ahadi Mange imemshida kidogo ni moja tu ile ya mwisho... "10. Nitakuwa mtii kwa Raisi na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania". hiyo tu...
Kajidharirisha kwakweli sheikh tena wa mkoa wa DSMSiku zote nilikua ANT-BAKWATA na ntaendelea kuwa hivyo japo sifikii mpaka kuwavunjia heshima viongoz wao ila kuanzia leo nimemshusha hadhi huyu jamaa to the extent that namuona km hajielew zaid. Hiv sheikh mzima unamjib Mange Kimambi (MK) halafu unaita kabsa waandish wa habar. Dah asee hasara sana hii. Toka nimeanza kumfatilia MK wewe ndio mtanzania wa kwanza kuitisha press kujib shutuma zake. Yaan amezidiwa busara mpaka na lemutuz. Halaf ujue uongoze waislam, kwel wonders shall never end.