DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Uyu Sheikh anafahamika kwamba ni kada maarufu wa chama na serikali. Sasa sijui anachobisha hapo ni kitu gani?!
 
Nijibu ninacho uliza
Hii lawama ya kuchanganya dini Na siasa nalaumu mm ama aliongea mange?
Ungekuwa wa kujibu ungeanza kujibu wewe niliyekuhoji ina maana kwavile Mange kasema ndo basi tena unakubali kila kitu bila kutumia uelewa wako mwenyewe!!!

In short, huna cha picha wala nini ila unashindwa tu ku-admit kwamba umelishwa matango pori... umewekewa picha za February 2014 nawe ukaamini kwamba ni za sasa simply because Mange ndiye aliyeweka hizo pics!

Stay blessed!!!
 
Kule kwa Mange ni hatari tupu. Shehe anarushiwa kashfa za kufa mtu. Kama kashfa ni za kweli shehe ataumbuka sio mda mrefu. Wale waliowahi kufanywa wanaweza kumtumia Mange video na mapicha
Alijua atafanya hivyo anavyofanya
Mwache aendelee tu
MAULANA MOLA wetu yupo!
 
Shekh ungesimama kwenye haki haya yasinge kukuta,ungekuwa pia yanapotokea manyanyaso ya watu wasio na makosa,kama tungesikia unatoa kauli kuwa serikali ina kalia demikrasia,serikali inawanyanyasa wananchi wanayoikosoa na kuwaonea wapinzani,na pia alipo pigwa risasi Lissu ungetoa kauli basi Leo hii usingeyapata haya,simama katika surati mustakim kuwa mkweli hayo ndio mafunzo ya mtume hakuwa mnafiki,ndio maana mpaka Leo anaheshimika,
 
Kwa hiyo yeye alianza zamani kuchanganya siasa na dini! Hapa kinachokera ni kwa nini awatuhumu wenzie (kina Bagonza ) wakati yeye ni mdau mkubwa wa kuchanganya?? Angepiga kimya kama alijua kuwa si msafi katika hili na hakuna ambaye angejali!
 
Najaribu kuwaza tu
Hivi ikafika mwakani na mange akafa ama akadhurika
Faida yake nini,
Sifa zitamuendea Mungu ama shehe, ama uchawi?
Hakuna lolote hapo,Mange hafi na hakuna kitakacho mpata,huyo alisema hayo hana lolote,Kama angekuwa yeye mungu kweli,mungu hana mshirika na apangiwi
 
Kwa hiyo yeye alianza zamani kuchanganya siasa na dini! Hapa kinachokera ni kwa nini awatuhumu wenzie (kina Bagonza ) wakati yeye ni mdau mkubwa wa kuchanganya?? Angepiga kimya kama alijua kuwa si msafi katika hili na hakuna ambaye angejali!
Ni wapi alipochanganya dini na siasa?! Umeshaambiwa, ile picha ambayo watu walikuwa wanatandika ubwabwa ilikuwa ni msibani... kuna Sheikh kafariki K,nyama na Sheikh Mkuu alikuwa pale. Jama wa CCM walipomuona, wakaenda kumjulia khali.

Ile picha nyingine ilikuwa ni ya mwaka 2014... sasa ni wapi huko ambako kachanganya dini na siasa?

Inaonekana watu hamfahamu tafisiri ya kuchanganya dini na siasa!

Kiongozi wa dini kuwa kwenye shughuli za siasa huwezi kuita ni kuchanganya dini na siasa! Hakuna sheria inayokataza viongozi wa dini kushiriki shughuli za kisiasa... kinachokatazwa; wewe upo msikitini au kanisani unaanza kuhubiri siasa... huko ndo kuchanganya dini na siasa!!

Au hata kama sio msikitini/kanisani, unafika kwenye halaiki, hususani kipindi cha kampeni kama hiki halafu unatumia nafasi yako kama sheikh au askofu, kumpigia mtu wako kampeni!
 
Sawa nafasi aliyonayo ni kubwa sana lakini kaamua kuidhalikisha kwa sababu ya njaa na tamaa ya mali ndo maana kaamua kuitumbukiza siasa katika kipawa chake ili tu afurahie maisha ya duniani huku akihubiri wenzie wasiangaikie msisha ya duniani(UNAFIKI)
 
Mkuu hapa ndio Shehk anasema alikuwa kwenye msiba...???

Me naona ni kama mkutano wa chama...,au ni macho yangu..???

Hebu Shehk atueleze vizuri maana kwa pembeni naona kiboa kimeandikwa Albino Cultural.........
 
Elephant in the room hapa ni Instagram. Angewashtaki nao in a US Court of Law kwa kumpa huyo pure evil gutter whore a dedicated platform to peddle her filth with such daring and absolute impunity.
 
Mkuu hapa ndio Shehk anasema alikuwa kwenye msiba...???

Me naona ni kama mkutano wa chama...,au ni macho yangu..???

Hebu Shehk atueleze vizuri maana kwa pembeni naona kiboa kimeandikwa Albino Cultural.........
Huo ni Mkutano wa CCM Temeke mwaka 2014 na yeye alienda pale kama Mgeni Mwalikwa! Na ulikuwa ni mkutano wa ndani wa kuchagua viongozi wa Jambo!!

Don't forget, huyu Sheikh carrer yake kaanzia Temeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…