DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Dini zimeisha tu duniani tumebaki na mashee matapeli,,,bora ukasali ibada yako nyumbani kuliko kupoteza muda wako kwenda kuwasikiliza wafiraji,,,wazinzi
 
labda kama tuna imani tofauti... mungu anakupa kwa hitaji lako... hata ukitaka kuua...! au mpaka tukupe aya mkuu...! mungu sio wako pekee... ni wawote... wabaya, watakatifu... nk wanyama...

Kila nafsi kwa Mungu ina thamani sana, Mungu hawezi kuruhusu nafsi aliyeiumba yeye itwaliwe na mtu mwingine ndo maana mtu yeyote akiua mtu mwingine hata kama ni nabii anahesabiwa dhambi kama mtu mwingine, hata kama itatokea mtu wa Mungu kamuua jambazi naye atahesabiwa dhambi kama mtu mwingine
 
Ukitaka kujua ugumu wa dini ni hapo, namna ya kumtreat mbaya wako. Hii ya kumwombea mbaya wako mabaya haina cha padre wala shehe. Binadamu yeyote timamu anamwombea mbaya wake mabaya. Mnaoenda kanisani msidanganyike na mahubiri ya wachungaji wenu madhabahuni au mashehe kwamba eti mbaya wako mwonbee mazuri hiyo haipo. Hao viongozi wa dini wanakesha kuwaombea wabaya wao mabaya. Bahati nzuri tu Mungu hana akili za kibinadamu.
 
M
I know nothing about you, you know nothing about me and that Mange of yours know nothing about me either ... sasa "kuninyoosha" huko kwa lipi? ...
Mbona hiyo ni rahisi! Mawazo yake, msimamo wake, falsafa na mchanyikonwa Ideas zake, unatosha kukunyoosha wewe na wengine wote wenye kiherehere cha kuifia Ccm. Najua unamfollow kila siku kwenye akaunti yake ya Instagram.
 
Haha haha
 
Mange ni kama nyuki,ni kadoogooo,unaweza kukadharau lakini kakikupiga ile penis yake,mamamaaaa
 

Acha blah blah taja ni sura ipi na mstari upi!?
 
kama hamjui mange itafikia hatua sheh atatembea akiongea mwenyewe njiani,anacheza na Mange kimambi! ametingwa.
 
Kwenye Uislam sijui sana lakini kwenye ukristo nabii ambaye alikuwa anatumiwa na Mungu na mwisho alipalizwa bila kuonja mauti alikuwa anawaua watu waliokuwa wanamuudhi kwa moto wa mbinguni. Alikuwa akikerwa anaagiza moto mbinguni na kuwaua watesi wake. Hivyo, shekhe angekuwa ni mkristo ningesema ni sawa kabisa kusema hivyo.
 
Ninachofahamu Mimi ni kuwa upinzani unamtambo au kiwanda cha matusi special na high skilled kwa ajili ya kuwashughulikia wale wote walio sawa au karibu na msimamo wa ccm au SERIKALI. Mtambo huu ni kimambe.Hutasikia mtumishi au kiongoz yyt wa dini akidhalilishwa kama atatofautiana na ccm au SERIKALI. Huyu ataimbiwa kila aina ya sifa za utukufu na atatafutiwa na vifungu vitakatifu kujazia sifa zake.

Msimamo wangu bado uko palepale,ni kosa na sio maadili kwa kiongozi yyt wa dini kujihusisha na siasa.Hii ni kwa vyama vyote ingawa upinzani kwao ni halali ila kwa wengine ni shida na ukiingia huko jitaidi kuvumilia matusi.Sioni sababu za msingi za kumtukana na kumdhalilisha shehe, Iwe alienda kwenye kampeni kama anavyodai kimambe ingawa ni ilikua msibani au kwa vyovyote vile.Sioni tafsiri ya HAKI NA UHURU wa kujieleza ktk hili,yani unaamua utukane au udhalilishe.

Sifikiri kama ni kujenga taifa lenye kujali na kuheshimu utu wa mtu.Nakumbuka alipoongea kakobe,ccm kupitia vijana wao waliibuka na kutoa maneno machafu na udhalilishaji na nafikiri hayakuwa na nguvu sana kutokana na kutokuwa na mrambo imara wa matusi na wenye nguvu licha ya hivo bado Hakuna aliyekuwa sahihi coz Hakuna HAKI NA UHURU wa kutukana au kumdhalilisha mtu.

Matokeo ni nini?Kwa kua haya mambo yako kisiasa,ni wazi upande mmoja lzm upotee tu.ccm,SERIKALI na watu wanaowaunga mkono hawawezi acha yapite hivi.Iwe inanunua au wanahama wenyewe,lkn jua ccm lzm uufute upinzani wa aina hii na hapa ndo inakuja dhana kuwa ANAYESABABISHA UPINZANI UFE NI MPINZANI mwenyewe,wafia chama watapinga lkn amini kwa siasa hizi chafu zaidi zinazoendelea za matusi na udhalilishaji hakika chama kitabaki na watukana matusi tu.SERIKALI inaongozwa na watu na sio malaika,so kitendo cha kuwadhalilisha ovyo sifikiri kama wanafurahia wale wanaowadhalilisha waendelee kuexist.

Tuendelee kuona hii movie
 
Ushawahi muuliza kakobe kwanini anaona mapungufu ya SERIKALI tu na sio upinzani?
 
eti mange anadai jamaa ni shoga mfuga majini..
dunia bana !
 
We nae, huyo shekhe anajulikana ni ccm, embu angalia picha nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…