DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Kumbe hata al badiri ina grace period!! Amepewa 1 year atukane tu!!! Kwanini asimsomee al badiri ashindwe kutukana!!
 
Sheikh angejifunza ustahimilivu na ustaarabu wa kujibu kutoka kwa Askofu Kilaini wa Kanisa Katoliki!
 
Ushawahi muuliza kakobe kwanini anaona mapungufu ya SERIKALI tu na sio upinzani?
Kwani upinzani ndio ina mamlaka ya kuongoza nchi, is this for real umeuliza au unatania tu mkuu.
 
Bahati nzuri wafuasi wake ni wale wote wanaozijua habari zake, wanamfuatilia kwa kila anachopost, na kuchangia au kuanzisha hoja zinazomuhusu iwe kwa kumfurahia au kumchukia.. hata wewe ungekuwa sio mfuasi wa mange wala tusingeona comment yako humu kwa sababu huwezi kucomment kwa mtu usiyemjua
kama hamjui mange itafikia hatua sheh atatembea akiongea mwenyewe njiani,anacheza na Mange kimambi! ametingwa.

 
mkulu mwenyewe katukanwa sana nabado anatukanwa lakini aliona akimjibu atazngua shekhe angekaa kimyaa huyu dada kawateka wabongo akili kila atakacho sema wanaamini kwahyo hapo kila mtu akimtumia sms kwamba shekhe kafanya hivi alifanya vile yeye atapost tuu na watu wataamini hata kama ni cha uwongo kwasababu umeshatangaza vita nayeye
 
Ushawahi muuliza kakobe kwanini anaona mapungufu ya SERIKALI tu na sio upinzani?
Lkn hawakosoi wanaoishabikia serikali,yy husema anayoona,
Tofauti na huyo ndg yenu yy badala ya kutulia aliko anajidai kukosoa wanaosema mapungufu ya serikali,
Hii ndo chanzo cha yalomkuta
 
Kwanini Musa kapanic hivi? Lazima kuna ukweli toka kwa Mange labda? Haa, so ataishtaki na JF? Sheikh jiwe limempata, naona Nabii Tito kamaliza sasa zamu ya Sheikh Musa.. Kakorogeka kweli, haa so atamloga Mange afe.. haa, hivi uchawi kama upo unafika umbali gani? Najiuliza tu, haa
 
Nivyoowambiiaga ukiwa shabiki wa ccm Lazima uwe mfiraji au mfirwaji hamunielewi!!!! Sasa mwaka huu mtazijua tabia za wapenzi na washabiki wa ccm....
Ushabiki wa kisiasa bado haujafikia na haupaswi kufikia hatua hiyo ya kuwatusi wanadamu wenzio ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…