Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HAPPY HAPPY
 
90' Naaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Taifa

Simba wamefanikiwa kufuzu michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya mchezo wa awali uliopigwa Zambia ambapo Nkana FC walishinda kwa 2-1

Asante sana wote hapa JF kwa kushirikiana kuleta mchezo huu

....Ghazwat....
 
Back
Top Bottom