Maombi ya simba kuongezwa dakika 45 za tatu yamekataliwa baada mgonjwa hali yake kuwa mbayaJamani nilisikia mashabibiki wamegoma kutoka uwanjani wakitaka mpira uendelee vipi hali inaendeleaje huko?
HahahahaSisi yanga kwa akili zetu timamu bila kushurutishwa na mtu tumeamua kuunga mkono juhudi za simba CCL
kapotelea kusikojulikana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namtafuta frank wanjiru simuoni asee
Wale wasomali wanawaza kupanda ndege tuDuh kumbe mpung mrefu ivi?
Sasa mitimu ya kibongo si ingekua inakaza ata kufuzu makundi tu kila mara
Kwan wakiamua kuweka malengo ni kufuzu makundi tu kwa miak kumi zen ndo muanze zoez la kutoka makundi mbele,inashindikan?
Mkuu..Kazi nimefanya kuleta Updates Simba Vs Nkana FC
Navuta pumzi mkuu..Mambo hayakuwa rahisi.
This Is Simba..SimbaNguvuMoja
Afu sielewi hapa katikat kuna kikundi cha wahuni kilikua kinajiita wakimataifa naomba unifahamishe walikua wanashariki wapi huko kimataifaYanga wamejaribu mara tatu mfululizo wanaishia knock out, makundi hawagusi. Simba baada ya kukaa kando kumuachia yanga, raundi ya kwanza tu makundi.
Kwa lugha nyingine, timu zoooooote za Afrika SIMBA iko 16 bora.