Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Kapombe nae atakuwa amesharudi.Hivi karibuni ataanza mazoezi mepesi.
 
Wakati wowote mpira utaanza uwanja wa Taifa...Timu zote zipo uwanjani tayari kwa ukaguzi. Ambapo mgeni rasmi Waziri wa Viwanda.


Huyu waziri kwa kweli ni hatari maana viwanda vya Simba leo vilikuwa imara ile kinoma na walimtendea haki. I hope alivipasisha viwango kuwa vya kimataifa baada ya ile mechi.
 


Hivi Mze Akilimali anajuwa matokeo ya hii mechi?
 
Daah leo nafuraha tu, But Kocha inabidi amuamini salamba, au kutafuta mbadala wa boko,.. Kama boko angetulia mechi ingeisha mapema sana,.. Boco amezingua kinoma,.... Boko awezi Funga katika mazingira magumu, anachotaka yeye abakie na nyavu tu,.. Rejea goli la salamba dhidi ya kmc angekua boco asingefanya Chochote kile,.....

Viva simbaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…