Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Licha ya kuwa na timu maelfu hapa afrika, hizi ndio timu bora aka top 16 za Afrika.

Simba Sc
Asec Memosas
Al Ahly
AS Vita
Saoura (Algeria)
Club Africain
Al Nasri (Libya
Mamelod
Platinum
Esperance
Constatine
Mazembe
Orlando pirates
Lobi
Cotton
Jarafu
 
HD nae wa kupongezwa jamani, alimpeleka maboya jamaa hata mimi nikajua atapiga cross raundi ya kwanza kumbe akamtisha jamaa akajaa, akatoa pande kwa chama. In short, hivi vitu eamevifanyia mazoezi! Kuna yule aliyekuwa sharp kuanzisha faulo jamaa wakiwa bado wanashangaa. Hapa ndio tunaona mpira sio kupiga piga tu bali quick thinking.
 
Wako hoi bin taabani. Wanachangishana kila siku watamsaidia nani?
Nkana nao kwa ufala wao wakaamini watasaidiwa.
Wangekuwa wana msaada wangefungwa 7-1 na Gor Mahia home and away?
Wangefungwa nyumbani na Township Rollers ya Botswana?
Wewe uombe uelekezwe njia na kipofu kama sio ukichaa ni nini?
 
Yanga wamejaribu mara tatu mfululizo wanaishia knock out, makundi hawagusi. Simba baada ya kukaa kando kumuachia yanga, raundi ya kwanza tu makundi.
Kwa lugha nyingine, timu zoooooote za Afrika SIMBA iko 16 bora.
Mlivyofungwa na LİBORO ilikuwa mwaka gani vile
 
Back
Top Bottom