Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
😠😠😠Kwanini uteseke. Kwanini uteseke. Pole Pole.
Kabebwe Tukuyu na wewemikia wamebebwa Leo Na refa basi shiiida kweli kweli
Tunavilaaaaa 😀😀😁😁😁this is simbaaaaaaa!!!Nakuonane tu na mbwembwe zenu. Karibuni viporo
Vibaya mno mkuu. Leo sina usingizi kabisa
Kaka kunywa soda hukoo ntalipafinal score aggregate itasoma 4-3
hapo tutatoka na 3-1
limebaki gori 1 la kpnd cha 2
Wajefyaaa ino isekuu, muhumba woo khayaa ng'imba amankaaDewji Gunto!
Wajefya Wajefya Wajefya Dewji mnyama kawafanya Ndala wakose amani
Ipende tenaaaaaSawa mkuu ila hii game Nkana ikipigwa napigwa nayo. Naipenda bure
Nisamehe kamanda,mzuka ulipanda. Nikatafuta Yanga wa karibu ukawa wewe. Am sorryNishawahi kukutana nje ya utani wa kawaida? I won't take this lightly my friend.
Hahahaha..mama nakufaaaaNisamehe kamanda,mzuka ulipanda. Nikatafuta Yanga wa karibu ukawa wewe. Am sorry
Mlivyofungwa na LİBORO ilikuwa mwaka gani vileYanga wamejaribu mara tatu mfululizo wanaishia knock out, makundi hawagusi. Simba baada ya kukaa kando kumuachia yanga, raundi ya kwanza tu makundi.
Kwa lugha nyingine, timu zoooooote za Afrika SIMBA iko 16 bora.
Tuendeleze utani wa kawaida si matusi. Yamepita.Nisamehe kamanda,mzuka ulipanda. Nikatafuta Yanga wa karibu ukawa wewe. Am sorry
Mkuu nashukuru sana, ila huu ushindi nimeutendea haki kwa kweli.Mkuu ningekuwa karibu ningelipa. This is Simba.
Hivi hujawaelewaga hawa hawajui nini maana ya utani wa jadi.Hilo najua ndiyo maana situkani mtu nje ya utani.
Hivi unaanzaje kujinyonga kwa vitu vya kupita. 🤣🤣🤣🤣Hajinyongi mtu hapa.
Mchezo huu una matokeo matatu nanyi mmepata ushindi.
Nikijinyonga nitapunguza mashabiki wa timu yangu