Mpira hauchezwi mdomoni bali kwenye pitch, ina maana porojo za yule zeruzeru mnadhani zinafanyakazi uwanjani?Dah,
Hii ishakua tabu sasa
Chama kakutana na Vyama.Jamani mnaoangalia mpira Chama hayumo?
Wazambia wamechokoza moto simba imewaka hapa.....
This is simba mkuuHawa inabidi tuwape dozi aisee, unamshika Simba sharubu!