kwa refa huyu huyu tunashinda si chini ya goli 4Kale mchicha na ngano ya kutosha uimarishe akili yako na macho, kwa iyo zile rafu ulitaka apete mbona nyoni kapigwa kadi...
Ombeni mechi ya kirafiki na Nkana kabla hawajarudi kwao nakuhakikishia mtakula 10
If and if wishes were horses.kwa refa huyu huyu tunashinda si chini ya goli 4
Kwan kumetokea nn mzee babaVipi baada ya matokea
sheria inasemaje mkuu??Kwa hiyo ukimfokea refa inabadilisha matokeo. Angalia vizuri goli la kwanza la Nkana .Ukitokea offside position halafu ufunge sheria inasemaje?
Hahaaa. Nishapoa tayari jirani nawe hongera.Marhaba na pole sana jirani
Ni offside. Angalia vizuri mkuu Bwalya alikuwa kwenye offside position. Akarudi onside baada ya mpira kupigwa.sheria inasemaje mkuu??
Hadi Kitwe kabisa.Mkuu..Umewasindikiza Nkana FC Airport?
Bora urudi mapema, watani wengine dah!Mkuu nipo ila majukumu yameniweka busy ndani ya hii miezi miwili mitatu, ila soon nitarejea.
Tuko pamoja Mkuu.
Lakini mbona hata vyura ni timu bora barani Africa na leo wataonyesha ubora wao mbele ya timu bora zaidi Tukuyu stars [emoji12] [emoji23]Lengo la Simba ni kushindana na timu bora barani Afrika sio kushindana na Tukuyu au Vyura.
Niko apa mpenzi#Shunie
[emoji26] [emoji26] [emoji26]Niko apa mpenzi
Kwa kuchelewa huku yabidi nikuahidi game zijazo za makundi yaani kila mkishida basi zawadi yangu itakuwepo. πππNiko apa dada naomba tu hiyo zawadi simba rahaaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91]
Nimekupenda burezipompa wewe huichukii simba kama mimi ninavyoichukia. Lakini kwa jana tuseme tu ukweli mtani wetu alicheza na chama ni bonge la mchezaji. Hakukuwa na kosa lolote la mwamuzi. Tujipange tu na sisi yanga tuacheni ushabiki maandazi na kujidhalilisha. Simba mpira wa uwanjani ni wazuri sana.
Nmekusoma sana na yule demu sheedaye acheni mtatufanya yanga wote tuonekane vilaza.sikutaka simba washinde lakini jamaa wameshinda tena bila kokoro.chama kuna siku tutamsajili yanga.ni bonge la player