Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mkuu bado unabishana nao hao wanaodai tumeujulia mpira Insta. Koh koh.
Yanga ndio pekee inaongoza kufungwa magoli mengi ligi ya ndani(kichapo toka simba) na mashindano ya kimataifaWacheni uzushi Yanga haikuwahi kucheza makundi ya Champions league katika miaka ya karibuni
Mara ya kwanza na ya mwisho ilikuwa 1998 na kila mtu anajua kilichotokea. Kufungwa goli 6 bila na Raja Casablanca ikiwa ni rekodi ya kufungwa goli nyingi kwa timu yeyote ya Tanzania.
[emoji23] [emoji23]Yanga ndio pekee inaongoza kufungwa magoli mengi ligi ya ndani(kichapo toka simba) na mashindano ya kimataifa
Kale mchicha na ngano ya kutosha uimarishe akili yako na macho, kwa iyo zile rafu ulitaka apete mbona nyoni kapigwa kadi...sio kosa sema makosa tena ya upendeleo wa wazi wazi akimbiwa anazingua anajifanya kutandanza kadi
mzee mbona unateseka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kufa basi[emoji23][emoji23][emoji23] this is Simba brotherkwa nini alifokewa mkuu, mbona wakimbilia kwenye matokeo unakwepa mchakato (process).
kufokewa kwake kunatokana na upendeleo wa wazi alio onesha, hana tofauti na mac dean akiwa anachezesha mechi ya totern
Ni kweli! Inabidii na vilabu vyetu vizoee kula pesa ya CAF kila mwaka ila hili litawezekana kwa kuboresha ligi yetu ya ndani.Hongeri Simba kwa kufuzu hatua ya makundi lakini lazima mkaze msuri kweli kweli maaana mnakwenda kukutana na Wanaumme wa shoka waliozoea kula pesa za CAF kila mwaka
Kale mchicha na ngano ya kutosha uimarishe akili yako na macho, kwa iyo zile rafu ulitaka apete mbona nyoni kapigwa kadi...
Ombeni mechi ya kirafiki na Nkana kabla hawajarudi kwao nakuhakikishia mtakula 10
Hapa nadraft barua kwenda tff kuwaomba waachane na hii TPL, watangaze Tu Simba waiwakilishe nchi Kwa Miaka mi5 mfululizo, Mambo ya kudhalilisha nchi hakikubaliki tena!Lengo la Simba ni kushindana na timu bora barani Afrika sio kushindana na Tukuyu au Vyura.
Acha kumzuga marehemu mkuu!Yanga iko siku na nyie mtafuzu kuingia kwenye hatua waliyofika Simba msikate tamaa
A dose of fresh air.Kumpata mtani anayejua maana ya utani. Wengine ni chuki tu.Mpira ni furaha na kutaniana kusiko vuka mipaka.Watani hongereni kwa ushindi mnono mmepambana kweli mlistahili ushindi
Na kweli atenganishe hayo makundi, kundi la tukuyu stars huwezi kulilinganisha na kundi la Esperance au tp mazembemakundi gan??? kilabu bingwa au shirikisho??? jifunze kutenganisha makundi anayocheza simba na anayocheza yanga[emoji23][emoji23]
Vipi baada ya matokeaKila la kheri Hassany Kessy