Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Nenda youtube ka search quick free kick goal. Itakuonesha. Utagundua unabisha kitu usichokifahamu. Wanafunga ulaya mpira ulikoanzia na sheria itakuwa hapa bongo?

Pole ndo mpira huo.pia utagundua kuwa hukujipanga kulichukia goal la chama
hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)

mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru
 
nilijua unakuja kujibu hoja kumbe unaokota ujinga mtandaoni kuja kusapoti mbeleko

Shida si haraka wala polepole katika upigahi/uanzishaji wa faulo shida ni haki/halali

tizama upya video zako magoli yote yamelalamikiwa (wajua kwa nini) kwamba timu zote ziko slow

ficha mahaba yako
You are a learning disabled, i am done with you!!
Hivi mfungwe sababu ya slow thinking yenu kisha mlalamike?
 
Team kuwa slow ni tatizo la team husika.kulalamika hakuondoi uhalali wa goal.je hayo magoli ni halali au si halali? Kama wachezaji wenu ni slow thats your problm.not universal problem. Magoli yote ni halali.

Kwenye ngumi wanasema protect yourself all the time. Jamaa amekupa uthibitisho si kwetu tu bongo. Hata ulaya yapo magoli kama hayo ni ya kimataifa.😂😂😂

nilijua unakuja kujibu hoja kumbe unaokota ujinga mtandaoni kuja kusapoti mbeleko

Shida si haraka wala polepole katika upigahi/uanzishaji wa faulo shida ni haki/halali

tizama upya video zako magoli yote yamelalamikiwa (wajua kwa nini) kwamba timu zote ziko slow

ficha mahaba yako
 
hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)

mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru
Ona sasa, unafananisha goli la mkono ambalo refa hakuona kwa bahati mbaya na quick free kick taking ambayo refa yuko hapo hapo, huoni una ussues mkuu? Nakua huwezi kubali kuwa una tatizo ila nakufahamisha kama hujui una tatizo, nakwambia una tatizo.
 
Team kuwa slow ni tatizo la team husika.kulalamika hakuondoi uhalali wa goal.je hayo magoli ni halali au si halali? Kama wachezaji wenu ni slow thats your problm.not universal problem. Magoli yote ni halali.

Kwenye ngumi wanasema protect yourself all the time. Jamaa amekupa uthibitisho si kwetu tu bongo. Hata ulaya yapo magoli kama hayo ni ya kimataifa.😂😂😂
mkuu unazungumza nini nenda youtube kaangalie faulo ngapi za namna iyo (kuanza bila ya ruhusa ya refa zimkataliwa) ilo ni tatizo la refa eidha makusudi (mahaba niue) ama kwa ushawishi wa rushwa

ai tatizo la timu pinzani kama unavyo hamisha goli
 
Najua unaumia sana mkuu, ila ndio hivyo. Uliichagua yanga kwa hiari yako, hukuwekewa gobole kichwani uichagua kwa lazima. Hivyo kanywe maji tu mkuu.
mkuu naumia kuona mbeleko ya wazi wazi kwa mpenda soka yoyote anaumizwa na mbeleko hii
 
Pole sana.... Umeaumia vibaya sana... Pole ndo mpira. Leo utaondoka nao nkana au utabaki kusubiria tena wakija next time?

Pole ndugu yangu This is Simba.inaleta furaha kwa watu na maumivu kwa baadhi ya watu.ndo mpira zipompa... 😂😂😂 Umeweza kula toka jana? Nkana inabidi watambue juhudi zako na mateso uliyoyapata ... Nmejisikia vibaya na huruma kwako. Pole sana sasa sijui utaishije kwa hali hii.... Maana bado safari ni ndefu na simba wameingia hatua za makundi.

Wewe utabaki bongo? Si hata ungeomba kibarua nkana cha usemaji?

hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)
Ee
mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru
 
Hivyo yani
IMG_20181224_121351_957.jpg
 
Back
Top Bottom