zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
hapa ulicho jibu ni nini? kufunga ulaya kafunga maradona goli la mkono, kafunga henry goli la mkono kufuzu mashindano makubwa hii haifanyi magoli ya mkono kuwa halali kwenye mipira kwa kuwa tu ulaya yametokea(ujinga wako uko hapa)Nenda youtube ka search quick free kick goal. Itakuonesha. Utagundua unabisha kitu usichokifahamu. Wanafunga ulaya mpira ulikoanzia na sheria itakuwa hapa bongo?
Pole ndo mpira huo.pia utagundua kuwa hukujipanga kulichukia goal la chama
mie sikujipanga kwa mbeleko ya namna ile ashukuliwe peter weweru