Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Hahaha.. Soon nitarejea Mtani. Ila kwanza hongereni kwa ushindi mzito dhidi ya 'timu ngumu' ya Tukuyu Stars.
Mkuu..Wanastahili hongera kwakweli kwa uishinda Tukuyu Stars si kazi rahisi na hatimaye kufuzu hatua ya makundi klabu bingwa.
 
Asante. Hongereni kumwondoa Nkana Kiongozi.
Lakini Nkana kaondoka roho ya mtu. Former kit manager.

Nimeipata hiyo Mkuu.. Ila ile gemu ya Nkana ilikua ya moto sana. Apumzike kwa amani. Tunachoenda kukifanya katika hatua ya makundi, naamini atakua proud na Mnyama.
 
Nimeipata hiyo Mkuu.. Ila ile gemu ya Nkana ilikua ya moto sana. Apumzike kwa amani. Tunachoenda kukifanya katika hatua ya makundi, naamini atakua proud na Mnyama.
Mkuu, hawezi kupumzika kwa amani, ilikuwa kafara mshinde.
 
Hahaha.. Ni kweli Mkuu.. Ndo mana nikaiita timu ngumu, mana ni Former Champion kama Yanga SC.
Yanga si tu ni former Champion, ni historical Champions - hadi vizazi na vizazi.
 
Mkuu..Ndo maana tumesema kazi haikuwa rahisi, kwavile ni bingwa wa zamani

Ila angalizo letu hizo hela mlizopata katika kufuzu makundi jitahidini walau kulipa mishahara pamoja na madeni
Mkuu, hapo mnabeza kiana, mkumbuke Tukuyu Stars ni former Champion wa nchi hii.
 
Mkuu, usikwepeshe hilo.
Fikiria kila mechi ya makundi iwe hivyo. Mashabiki wenu wapo hatarini.
Ukiamini hivyo na tuamini kuwa hata Ally Yanga ni kafara kweli?

Kubali yaishe michuano hii 1974 Simba nusu fainali kwa hivyo kandanda kwa anga za kimataifa ni Jadi Yetu.
 
Mkuu, usikwepeshe hilo.
Fikiria kila mechi ya makundi iwe hivyo. Mashabiki wenu wapo hatarini.

Mkuu, hayo mambo ya kamati za ufundi tulishayapa kisogo mda sana.. Sasa hivi mpira wetu ni uwanjani tu, na si vinginevyo na hiki ndicho anachoamini Profesa Patrick Aussems.
Hebu rudia kuangalia tena ile migoli ya Mnyama.. Kuna uchawi pale?! Ni akili nyingi sana zilitumika. Kwa kifupi, mtapata sana msimu huu.
 
Mkuu..Ndo maana tumesema kazi haikuwa rahisi, kwavile ni bingwa wa zamani

Ila angalizo letu hizo hela mlizopata katika kufuzu makundi jitahidini walau kulipa mishahara pamoja na madeni
Issue ya mishahara tuachieni wenyewe. Kazi yetu ni point uwanjani. With or without mishahara.
 
Haitatokea kamwe Kamati za Ufundi mzipe kisogo. Si leo wala kesho.
Beberu mwenyewe kakubali ukweli huo.
 
Lengo letu la kwanza limeshatimia. Kuingia kwenye makundi. Baada ya hapo everything is possible.Tutasajili kuiongezea timu nguvu na kufanya matayarisho ya maana.
Makundi yataanza mwezi wa 5 mwakani.
Wakati huo tushatwaa ndoo ya TPL
 
Wale makuwadi wa Nkana watatafuta kila kisingizio kujaribu ku justify kwanini Nkana ametolewa.
Pamoja na ukuwadi wa wazi na kificho Nkana amerudishwa kwao Kitwe Zambia.
Kafungwa goli 3-1.
Waliowashangilia wamebaki wakijiuliza imekuaje?
Pukachaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…