Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fikiria wote tukiwa na akili ya shabiki huyo, mtakalika humu?Mkuu unakuwa mnyonge baada ya kukwaa kisiki kutoka kwa Shabiki Kindaki wa Simba..ha ha ha ha ha
Kabla ya mechi mkuu ilivyokuwa ukitania, nilijua utakata pumzi tu!
Hii ndo Simba SC, au Mtani
haina haja ya kusema, mbona tuliona wote isipo kuwa wenye mahaba na nyau fc anayejiona simbaNi lazima ushangae sana tu!
Haya tuseme refa aliibeba simba...! Umeridhika?...vyura bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafungwe nkana, muumie nyie...teh teh!
Naona vyura mnavyohema na kukodoa kama vile mmekoswakoswa na cobra!haina haja ya kusema, mbona tuliona wote isipo kuwa wenye mahaba na nyau fc anayejiona simba
Hivi kuna timu iliyofanya "sherehe" kuingia kwenye makundi kama watani zetu?
Kama vile Kombe lipo mlangoni.
At least unakubali kuhusu sherehe. Mechi za makundi watani zenu tupo kama kawa.Msitusemee..Tunashangilia fedha za usajili 1b. Zimerudi kwahivyo tunaanza upyaaaaa tunaanza upyaaaaa (Voice.. Mbunge Bwege)
Wakili rufaa inaamuliwa lini?haina haja ya kusema, mbona tuliona wote isipo kuwa wenye mahaba na nyau fc anayejiona simba
ana umwamba gani, mwamba aache kuwa refa peter mahaba tangu dk ya kwanza aje kuwa chamaWakili rufaa inaamuliwa lini?
Naona mkuu umeteseka haswa.Lakini lazima Nkana wajue kwamba wewe ni die-hard fan wao hata rufaa ikitupwa.
Nakubaliana na wewe lile goli la Tripple C mwamba wa Lusaka lilikuwa la spidi sana ingefaa lirudiwe kwa slow motion.Usimlaumu refa alipohojiwa alisema yeye alishtukia watazamaji wanashangilia na Nkana wanalalamika.Ikabidi amuulize kibendera aliyemhakikishia kwamba ni goli.
Watu wengine wagomvi sana Eti wanasema:Leo bakuli limetembezwa kwa mchina lakini imepatikana shilingi 90000 tu.
Mnashangaa nini watazamaji walikuwa 2350.
Hahaha bado sijajibiwa ebu nipelelezee ukoSina hamu nduguyo. [emoji23]. Vp lakini Dada wameshakwambia Chama keshaoa au bado? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka mm cc Shadeeya ebu ukuje[emoji120] [emoji120] [emoji120] Hatimaye sasa dua zangu Muumba kazisikia hayanifute tu kwa kweli maana ni wewe pekee uwezaye kunifuta.
Nimempata bwana hawana umeme toka jana zimefika salaam mpenzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimpata msalimie, ila isijekuwa sikukuu hii kaamua ajitulizikie zake hataki usumbufu.
Hao 2350 wametoka wapi mkuu? Au wamejiumua na kisha kujiduplicate..? Tiketi zimeuzwa 634 tu..Leo bakuli limetembezwa kwa mchina lakini imepatikana shilingi 90000 tu.
Mnashangaa nini watazamaji walikuwa 2350.
Yaah ni kweli uloandika kazeni buti huko mbele pagumuA dose of fresh air.Kumpata mtani anayejua maana ya utani. Wengine ni chuki tu.Mpira ni furaha na kutaniana kusiko vuka mipaka.
Haji Manara ambaye babu yake mzaa mama Mzee Haji alikuwa Mwenyekiti Simba lakini haikumzuia Sunday Manara kwenda kumchumbia na kumuoa mama yake Haji Manara. Kwani hakuna uadui.
Bora urudi mapema, watani wengine dah!
Asante. Hongereni kumwondoa Nkana Kiongozi.Hahaha.. Soon nitarejea Mtani. Ila kwanza hongereni kwa ushindi mzito dhidi ya 'timu ngumu' ya Tukuyu Stars.