Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Mkuu unakuwa mnyonge baada ya kukwaa kisiki kutoka kwa Shabiki Kindaki wa Simba..ha ha ha ha ha

Kabla ya mechi mkuu ilivyokuwa ukitania, nilijua utakata pumzi tu!

Hii ndo Simba SC, au Mtani
Fikiria wote tukiwa na akili ya shabiki huyo, mtakalika humu?
 
Hivi kuna timu iliyofanya "sherehe" kuingia kwenye makundi kama watani zetu?
Kama vile Kombe lipo mlangoni.
 
Ni lazima ushangae sana tu!
Haya tuseme refa aliibeba simba...! Umeridhika?...vyura bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafungwe nkana, muumie nyie...teh teh!
haina haja ya kusema, mbona tuliona wote isipo kuwa wenye mahaba na nyau fc anayejiona simba
 
haina haja ya kusema, mbona tuliona wote isipo kuwa wenye mahaba na nyau fc anayejiona simba
Naona vyura mnavyohema na kukodoa kama vile mmekoswakoswa na cobra!
Haya, mkajiliwaze huku mmeifunga timu ya level zenu goli nne huko..hongereni vyura!
Korododooo...[emoji196][emoji196][emoji196]
 
Msitusemee..Tunashangilia fedha za usajili 1b. Zimerudi kwahivyo tunaanza upyaaaaa, tunaanza upyaaaaa (Voice.. Mbunge Bwege)
Hivi kuna timu iliyofanya "sherehe" kuingia kwenye makundi kama watani zetu?
Kama vile Kombe lipo mlangoni.
 
Msitusemee..Tunashangilia fedha za usajili 1b. Zimerudi kwahivyo tunaanza upyaaaaa tunaanza upyaaaaa (Voice.. Mbunge Bwege)
At least unakubali kuhusu sherehe. Mechi za makundi watani zenu tupo kama kawa.
Au nisiseme lolote kuhusu viporo vyenu?
 
haina haja ya kusema, mbona tuliona wote isipo kuwa wenye mahaba na nyau fc anayejiona simba
Wakili rufaa inaamuliwa lini?
Naona mkuu umeteseka haswa.Lakini lazima Nkana wajue kwamba wewe ni die-hard fan wao hata rufaa ikitupwa.
Nakubaliana na wewe lile goli la Tripple C mwamba wa Lusaka lilikuwa la spidi sana ingefaa lirudiwe kwa slow motion.Usimlaumu refa alipohojiwa alisema yeye alishtukia watazamaji wanashangilia na Nkana wanalalamika.Ikabidi amuulize kibendera aliyemhakikishia kwamba ni goli.
 
Leo bakuli limetembezwa kwa mchina lakini imepatikana shilingi 90000 tu.
Mnashangaa nini watazamaji walikuwa 2350.
 
ana umwamba gani, mwamba aache kuwa refa peter mahaba tangu dk ya kwanza aje kuwa chama

refa ashukuliwe
 
Attachments

  • images (5).jpg
    images (5).jpg
    12.4 KB · Views: 15
Mkuu usijali mtashinda rufaa. Case ulivyo present ina mashiko haswa.
Refa kushiriki kufunga tena kwa mkono ni kosa kubwa. Lazima rufaa ijibu.
 
Leo bakuli limetembezwa kwa mchina lakini imepatikana shilingi 90000 tu.
Mnashangaa nini watazamaji walikuwa 2350.
Watu wengine wagomvi sana Eti wanasema:
*Uwanja wa Taifa ulivyokuwa umejaa jana Yanga walitamani wapitishe bakuli la mchango*
 
  • Thanks
Reactions: Tui
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Hatimaye sasa dua zangu Muumba kazisikia hayanifute tu kwa kweli maana ni wewe pekee uwezaye kunifuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka mm cc Shadeeya ebu ukuje
 
A dose of fresh air.Kumpata mtani anayejua maana ya utani. Wengine ni chuki tu.Mpira ni furaha na kutaniana kusiko vuka mipaka.
Haji Manara ambaye babu yake mzaa mama Mzee Haji alikuwa Mwenyekiti Simba lakini haikumzuia Sunday Manara kwenda kumchumbia na kumuoa mama yake Haji Manara. Kwani hakuna uadui.
Yaah ni kweli uloandika kazeni buti huko mbele pagumu
 
Lengo letu la kwanza limeshatimia. Kuingia kwenye makundi. Baada ya hapo everything is possible.Tutasajili kuiongezea timu nguvu na kufanya matayarisho ya maana.
Makundi yataanza mwezi wa 5 mwakani.
 
Back
Top Bottom