Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Nao wanataka kusonga mbele. Usiwachukulie poa mkuukwan mbona tunaongoza ko bado now hawajatuangalia?
tulia kaka mkubwaHahaha. Nao wanataka kusonga mbele. Usiwachukulie poa mkuu
Simu zetu hizi bhana unaandika hiki yenyewe inakufanyia auto correctionNimeshausakuslaibu
I mean subribe
Kweli kabisa!Semaa nn hawa nkana...wakifanya shambuliz linakua na madhara makubwa sanaa
Poa mkuu. Nabugia popcons hapatulia kaka mkubwa
siku Zote historia huwa HAIDANGANYI
hapo Simba tushapita kaka mkubwa
SabuskraibuSimu zetu hizi bhana unaandika hiki yenyewe inakufanyia auto correction
Hahaha kumbe neno umeliswahilisha.Sabuskraibu
Uko sahihi! Jamaa wanajua mpiraYaan hawa nkana
Hata wakitoka ni moto sana hawa washikaji huwez jilaum kwa nauli na kiingilio au kilipio cha kingamusi
Nkana ni mafund all in all tunawaombea watan zetu
Mech ndo inaanzaDakika ya ngapi?
Hapana,wataongezewa muda au watapigiana penati
Wakibaki hivi hivi mpaka mwisho wataenda Extra time (30min) au Penalty
Angeuza timu huyuHapa naona boko la Manula.