El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
ampelekee maharage amlipeWaunguze mara ngapi? Jirani analia na friji hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ampelekee maharage amlipeWaunguze mara ngapi? Jirani analia na friji hapa.
Ungeona hastag za kipara rudisha umeme kila sekunde...jamaa sijui aliwafanya Nini waja!!ingekua Makamba bado yuko pale, angekula mvua za matusi
inatakiwa tuandamane tuliokula hasara wote twende na vithibitisho wakatulipe fidia... Sasa unakuta enzymes zilikuw zimejiandaa kumeng'enya wali samaki... Badala yake zinakutana na soda tena dah!Kinachosikitisha ni kuwa mboga ipo tayari ilibaki wali tu yan aah afu bado haujarudi hadi saiv dah[emoji28][emoji28]

Haha inasikitisha sanainatakiwa tuandamane tuliokula hasara wote twende na vithibitisho wakatulipe fidia... Sasa unakuta enzymes zilikuw zimejiandaa kumeng'enya wali samaki... Badala yake zinakutana na soda tena dah!
Changamoto saana hakuna namnaSijui kuna tatizo gani, lakini leo Ijumaa Septemba 8, 2023, huku ninakoishi maeneo ya Kilungule A, Kimara, Dar es Salaam, umeme umekatika zaidi ya mara nane.
Tangu asubuhi Tanesco wanafanya zoezi la kukata na kuwasha umeme, sijui wana mpango wa kutuunguzia vitu vyetu ambavyo tumenunua kwa kukopa.
Kama kuna tatizo tuambiwe lakini hili la umeme unakatika, unakaa nusu saa au dakika kumi unarudi, kisha baada ya saa tatu au nne unakatika tena, si sawa.
Hebu fikiria, kama usiku huu pekee kuanzia saa 1 hadi saa 3, umeme umekatika mara tatu na kurudi si chini ya dakika kumi.
Pia, soma Kero: TANESCO Mtwara wanakata kata umeme ovyo!
Uliusubiri hadi usiku wa Manane?Kinachosikitisha ni kuwa mboga ipo tayari ilibaki wali tu yan aah afu bado haujarudi hadi saiv dah[emoji28][emoji28]