DAR: TANESCO mnachotufanyia mtatuunguzia vitu

Bila stablelizer ya uhakika kwa umeme huu utakuwa uvipendi vitu vyako,nadhan ni kimara yote wanakata na kurudisha hata ukiwepo unaona kabisa haupo stable.
 
Kinachosikitisha ni kuwa mboga ipo tayari ilibaki wali tu yan aah afu bado haujarudi hadi saiv dah[emoji28][emoji28]
inatakiwa tuandamane tuliokula hasara wote twende na vithibitisho wakatulipe fidia... Sasa unakuta enzymes zilikuw zimejiandaa kumeng'enya wali samaki... Badala yake zinakutana na soda tena dah!
 
...Nakwambia vinyozi unamnyoa baunsa alaf umem unakata dah...! Ebu me nna wazo vp ule umeme wa kinyesi cha wanyama... Naskia hauna cha kukata
 
Umeme kuanzia saa bili mpaka saa nne umekatika mara tatu.
 
Kiufupi kulikuwa na shida ya umeme leo route nzima ya ubungo mpaka kibamba..

Mimi jioni hii mtaani kwangu ulikata kimafungumafungu. Nyumba hii upo, inayofuata haupo. Inayofuata unawaka na kuzima repeatedly kama kuna mtu anacheza na main switch.

Niliwapigia tanesco kwa โ€ช0748 550 000โ€ฌ, naona wakaukata kabisa, kisha baada ya nusu saa umewaka kote steadly..
 
inatakiwa tuandamane tuliokula hasara wote twende na vithibitisho wakatulipe fidia... Sasa unakuta enzymes zilikuw zimejiandaa kumeng'enya wali samaki... Badala yake zinakutana na soda tena dah!
Haha inasikitisha sana
 
Siyo dar tu hata huku nilipo wanakata umeme kila baada ya dakika 3 au 5, alaf wanarudhisha na kukata kwa staili hiyo hiyo
 
...Nakwambia kuna fundi alikufa... Umeme ulikata akawa anatengeneza ma kebo yake... Kabla ya dakika 1 umeme ukarudi tena... Jeneza walinunulia kwa jay fundi seremala... Jay akapiga hela ya jeneza kimasihara...
 
...Unaeza walaumu TANESCO Bure... Kumbe kikosi cha IT Waliokosa kazi za kujiajiri au kuajiriwa wanafanya mambo yao... Badae wanasambaza CV Kuwa wao ni Anti-Hackers...

TANESCO Kama hackers ndio tatizo mseme... Anti-hackers wapo...
 
Changamoto saana hakuna namna
Ndo Mifumo ambayo tumeshaikubal

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Mbezi beach na sala sala hakuna toka asubui [emoji505][emoji1637][emoji484]
 
Mafundi wa welding
Mafundi wa aluminium
Mafundi wa mbao
Mafundi wa mataili za magari
Wauza nyama/samaki
Mafundi nguo kushona
Vinyozi wa nywele
Wote hao wana hathirika kwa namna moja au nyingine na kukosekana umeme

NA KINACHOONEKANA HUKO JUU
WAO HAWAJALI WAKO WAME RELUX TU WANAONA SAWA TU

ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ