Dar Technical na Technical College Arusha Mpo !!

zamani mlikua mnafaidi sana... Babu Asprin na ndio maana akili zenu zilikua nyingi sana sana sio kama siku izi..
nafurahi sana enzi zenu, ni story ambazo zinagusa

Hahahahaah That paka LOL. Na watu wakapiga msosi kama kawa..!

Hahahaha manoah njoo upate story mpya.

Mkuu Sikonge, kuna siku nyau aliibuka kwa sufuria kwa Lugundi. Watu wakajifanya hawajaona wakapiga ubwabwa kama kawa! Hahahahahah dah!!
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli hii thread ina trigger good memories. Bahati iliyoje kwamba mimi nimepita TCA na DIT.

Mkuu Sikonge mkuu wa chuo cha TCA kwa sasa ni Mhandisi Dr. Richard Masika,na sio Robert Masika. Jamaa alikuwa Director of Studies DIT kabla hajaukwaa ukuu wa chuo cha Arusha.

Alikuwa ameanza vizuri kukikarabati chuo pamoja na kuanzisha course nyengine kama vile Computer engineering pamoja na Irrigation Engineering. Nimesikia kwamba sasahivi kuna mgogoro uliodumu kwa muda mrefu kidogo baina yake na teaching staffs, sasa sijui kama ataweza kufikia malengo ya kukifikisha chuo katika level ya juu ikiwa hakuna maelewano na watumishi wenzake.
manoah hivi siku hizi huko DIT hakuna vitu vya kuvutia na kukerehesha kama ilivyokuwa enzi za miaka hiyooo ya alfu lela ulela? Mzee wa LLM Asprin nimekusoma kumbe ulipokuwa TCA ulikuwa mkareee kiasi hicho?
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya umeona Asprin alivyo kua hatari kama njaaa ah ah ha! Vitu vya kuvutia na kukerehesha kama kawaida ya hapo ukifika mnalani unakuta wanajiachia, CBE wanachukiaje sasa..

Kwakweli hii thread ina trigger good memories. Bahati iliyoje kwamba mimi nimepita TCA na DIT.

Mkuu Sikonge mkuu wa chuo cha TCA kwa sasa ni Mhandisi Dr. Richard Masika,na sio Robert Masika. Jamaa alikuwa Director of Studies DIT kabla hajaukwaa ukuu wa chuo cha Arusha.

Alikuwa ameanza vizuri kukikarabati chuo pamoja na kuanzisha course nyengine kama vile Computer engineering pamoja na Irrigation Engineering. Nimesikia kwamba sasahivi kuna mgogoro uliodumu kwa muda mrefu kidogo baina yake na teaching staffs, sasa sijui kama ataweza kufikia malengo ya kukifikisha chuo katika level ya juu ikiwa hakuna maelewano na watumishi wenzake.
manoah hivi siku hizi huko DIT hakuna vitu vya kuvutia na kukerehesha kama ilivyokuwa enzi za miaka hiyooo ya alfu lela ulela? Mzee wa LLM Asprin nimekusoma kumbe ulipokuwa TCA ulikuwa mkareee kiasi hicho?
 
Last edited by a moderator:
Ehh nama wee, nilikosea kuandika.

Huyu jamaa nilishamsikia tangu akisoma Hungury na nilishapanga hadi kwenda kwake kumtembelea ila nikajifanya bahili na hadi leo nalaani kwa sababu sikuweza tena kwenda Budapest. Enzi hizo alikuwa aki-Panda hadi Darini kwenye mambo yake hayo ya Structure Engineering.

Ninaelewa kwa nini alitaka kukibadili kwa speed kubwa sana hicho chuo na Waalimu wakashindwa kuhimili Speed yake. nampa sana Pole kaka Masika. Siku moja ntajitahidi nifike Arusha hatimaye tuonane ana kwa ana.

Ni kweli nilipoingia kwenye ukurasa wao, nikaona kozi nyingi sana zinafanyika hapo. Nafikiri ilikuwa makosa kwa mtu mwenye PhD kumuweka pale badala ya kuwa Chuo Kikuu. Sasa anakuwa anataka kukibadili chuo kuwa kwenye hadhi take ya Dr. Anyway, too sad. Inanikumbusha jamaa mwingine aitwaye Bamwenda aliyekuwa Arusha kwenye chuo gani sijui na yeye wakamfanyia mizengwe kibao hadi Rais akamuondoa.

Back
Top Bottom