Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Kwakweli hii thread ina trigger good memories. Bahati iliyoje kwamba mimi nimepita TCA na DIT.
Mkuu Sikonge mkuu wa chuo cha TCA kwa sasa ni Mhandisi Dr. Richard Masika,na sio Robert Masika. Jamaa alikuwa Director of Studies DIT kabla hajaukwaa ukuu wa chuo cha Arusha.
Alikuwa ameanza vizuri kukikarabati chuo pamoja na kuanzisha course nyengine kama vile Computer engineering pamoja na Irrigation Engineering. Nimesikia kwamba sasahivi kuna mgogoro uliodumu kwa muda mrefu kidogo baina yake na teaching staffs, sasa sijui kama ataweza kufikia malengo ya kukifikisha chuo katika level ya juu ikiwa hakuna maelewano na watumishi wenzake.
manoah hivi siku hizi huko DIT hakuna vitu vya kuvutia na kukerehesha kama ilivyokuwa enzi za miaka hiyooo ya alfu lela ulela? Mzee wa LLM Asprin nimekusoma kumbe ulipokuwa TCA ulikuwa mkareee kiasi hicho?