profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
kwa wazoefu naomba msaada,gari ya toyota noah old model(road tourer),kutoka dar mpaka kyela inaweza tumia litre ngapi za petrol?ni 1990cc, 2WD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijaelewa vizuri mkuu,ina maana toka kyela mpaka makambako ulitumia lita 53(140,000/),na makambako moro ulitumia ya 68000/(lita 26) na moro to dar sh 35000/(lita 13)?Wewe jiandae na 250,000 one way mkuu...Mara ya mwisho kipindi hicho petrol ni 2630 trip ilikua hivi...140,000 full tank lita 53...Makambako...68,000 moro 35,000 tshs haya ndo yalifika mpaka Dar na kutumia kwa siku kadhaa...gari ina engine ya 3s..pia...
Hapana toka kyela nilijaza 140,000 ikawa full tank..nilipofika makambako nika top up 68,000 ili irudi kwenye full..nilipo fika moro nikaweka 35,000 ndo nikamaliza nayo hadi DSM kwaio dhumuni la kufanya hivyo ni kujua wese linaendaje nikakuta ni 10.32km/l kutoka Kyela hadi Mbeya kuna milima milima mingi kwaio kwa engine hio ya 3s hapo weka 250,000 mimi nakanyaga vibaya mafuta ila kama upo fresh unaweza tumia pungufu ya hapo kwaio around lita 83-85 unafika kyela mjombasijaelewa vizuri mkuu,ina maana toka kyela mpaka makambako ulitumia lita 53(140,000/),na makambako moro ulitumia ya 68000/(lita 26) na moro to dar sh 35000/(lita 13)?
Weka picha tuone. Kwa Mercedes Benz C200 lita 65 unafika hadi Bujhonde, au hata Itunge Portkwa wazoefu naomba msaada,gari ya toyota noah old model(road tourer),kutoka dar mpaka kyela inaweza tumia litre ngapi za petrol?ni 1990cc,2WD
Mpaka kuuliza JF unaonyesha pesa ya mawazo. Ya nn kujitesa? Kwea New Force tukwa wazoefu naomba msaada,gari ya toyota noah old model(road tourer),kutoka dar mpaka kyela inaweza tumia litre ngapi za petrol?ni 1990cc,2WD
asante kwa ushauri mkuu,ila safari sio mateso,unaweza ukifika iringa unalala siku moja,ukifika makambako unalala siku mbili,ni maamuzi tu mkuu,maisha yenyewe ni leo tu,kesho ni ya Mungu.Ya nn kujitesa. Kwea New Force tu
picha tena?kwa ajili ya nini mkuu.Weka picha tuone. Kwa Mercedes Benz C200 lita 65 unafika hadi Bujhonde, au hata Itunge Port
Picha ya noahpicha tena?kwa ajili ya nini mkuu.
Nyie Wanyakyusa huwa hamchelewi kusema mna gari ya cc 1999 kumbe una Ferraripicha tena?kwa ajili ya nini mkuu.
Bei ya ticket air Tanzania Dar-Mbeya-DarAndaa 190,000/= kwenda
Andaa 400,000 /= kwenda na kurudi
Ila mkuu kusafiri na gari ina raha yake aisee...ni kama adventure hivi..ligi ya barabarani...swafi kabisa...Bei ya ticket air Tanzania Dar-Mbeya-Dar
[emoji23][emoji23][emoji23]mpaka kajunjumeleWeka picha tuone. Kwa Mercedes Benz C200 lita 65 unafika hadi Bujhonde, au hata Itunge Port
Nakukumbusha petrol ni TZS 2861kwa wazoefu naomba msaada,gari ya toyota noah old model(road tourer),kutoka dar mpaka kyela inaweza tumia litre ngapi za petrol?ni 1990cc, 2WD