Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

Njoo baba tukukabidhi nchi utuondolee jiwe lililo zuiya maendeleo ya watz,utuondolee jiwe lililotuteka na kutuua.
 
Kwa mfano nimemsikia yule mwanaharakati wa Ubeligiji anasema anarudi nyumbani waje wajenge TANZANIA MPYA, yaani wajenge Tanzania ya kinadharia kwa sababu mm ninachojua haki za binadamu ni pamoja na kuwaheshimu na kuwalinda wamachinga, mamantilie, haki za binadamu ni pamoja na kuimarisha miundombinu ya Reli, Anga,:majini na Nchi kavu, haki za binadamu ni pamoja na kulipa ada buree kwa watoto wa shule, haki za binadamu ni pamoja na kuimarisha ulinzi wa rasilimali za Taifa kama madini, haki za binadamu ni pamoja na kusaidia wajane watu waonewao, sasa hawa ndugu zangu wanaongea vitu too theoretical.
 
Passport ya kusafiria anayoitumia kwenda kuonyesha nia ya kuiuza nchi ajue si Mali yake tena na uropokaji wake ajue kuwa atasshughulikiwa kama wahalifu wengine kwa hiyo cha msingi aheshimu sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom