Huu sio upambaji...It is just a manic workPublic transport in "The city in the Sun"
hahaha leta upambaji nione sasaHuu sio upambaji...It is just a manic work
Huu sio upambaji...It is just a manic work
hahaha we dont need that useless BRT mnaosafirishia mpaka kuku...hehe yaani nyie washamba sana...Kweli mkuu, halafu wanasahau usafiri wa abiria jijini DSM upo chini ya usimamizi wa sheria (regulated) na hivyo umuhimu wa dala dala na mabasi kuwa na mfumo mmoja wa rangi na siyo ''vurugu'' kisa 'usanii wa gaffiti''.
Nairobi's matatus are unique...one of a kind in the world...besides who said BRT cannot exist tgether with other means of transport...si nyinyi mna BRt na bado mna dala dalaHakuna MTU Tanzania atataka kupanda gari kwasababu inarangi tofauti. Nchi nyingi zilizo endlea kiusafiri mabasi na treni yana rangi sawa. Na rangi zinatofautiana pale tuu unapotoka mkoa moja kwenda mwingine kwa sababu za kiusalama na kodi. Lakini in one particular place, usafiri unakuwa na rangi ya aina moja. South Africa is same, UK is the same even USA ni hivyo hivyo. Rangi moja inakupa sense of identity of that particular city kuliko kuwa na mirangi mingi isiyo eleweka.
zavutia sana nazipenda...ila pakeni daladala rangi kidogo...mwache hizi basi zibaki zilivyo..Yani haya yakachorwe chorwe hiyo mirangi? Mbona zavutia kama zilivyo, kingine daladala zote zitaja ondoshwa mradi haujaisha bado.
View attachment 504063 View attachment 504064
hujui kama wabunge wenu watakuja kujifunza jinsi ya kuanzisha BRT?hahaha we dont need that useless BRT mnaosafirishia mpaka kuku...hehe yaani nyie washamba sana...
Wamiliki wake sidhani kama wana mawazo hayo, muda mwingi kugombana na madereva si unajua uhuni wa madereva, Biashara za magari ngumu sana.zavutia sana nazipenda...ila pakeni daladala rangi kidogo...mwache hizi basi zibaki zilivyo..
Je Wamiliki WA Mabasi Dar (Daladala) walikatazwa kupaka Rangi na kupamba mabasi yao????
Siyo siri daladala(city bus) zikipambwa hupendezesha na na kuvutia Wateja maana huonekana ni jipya na huvutia......
Ni mda sasa WA kupamba mabasi yetu na kuweka matangazo ubavuni ya kuvutia, hii hufanya yapendeze, sana......
Pia ni fursa kwa wapamba mabasi WA Nairobi kwenda kuwekeza na kutoa sample Jijini Dar, ARUSHA na Mwanza......
Sio siri matatu ya Kenya ni mazuri na hufanya yavutie abiria...
watakuja....i hope mtawakaribisha...BRT yenu ni mfano mzuri kwa nchi za Afrika...i agree they are awsomehujui kama wabunge wenu watakuja kujifunza jinsi ya kuanzisha BRT?
hate all you canKenya nchi ya kihuni....na watu wake. Picha zajieleza